Umebadili id...lol..naisahau ila ntaikumbuka
Ila sura ya Dada blandina mmmmmmh!!..
Hakua afisa kipenyo kweli..
Tuanzieni hapo..
Mtangazaji wa ITVUfuo salo ni Nani na alifanya Nini?
Kumbe upo hapa kujaribu kumtetea Marehemu, una kibarua kizito sana na wala siwezi kupoteza muda wa kujibishana na watetezi wa marehemu!!Ok orodhesha hapa hayo yanayodaiwa ni mauaji
NisaidieNikusaidie kuitaja au? 😘
Huwa nashangaaga sanaSidhani...anywys sijui..mayb...kwamba ukinywa unataka dudu? Duh...
Ukiona hivyo acha pombeHuwa nashangaaga sana
Labda kwa wanaume maana naona ndo lalamishi lao kuu hiliUkiona hivyo acha pombe
Assassination, pure and simple.
Yeye kaleta habari kama ilivyosikika kwenye vyombo vya habari.Hakusema yeye.Mleta uzi umejuaje kama ameuwawa?na sio kifo cha aina nyingine.
Tanzania bana yaani TISS wanashindwa kumchunguza mtu kama ni Raia au sio raia.hadi mnampa secta nyeti??? Viongozi ndio maana wanapata aibu...mkenya aliyejigeuza kuwa mtanzania
Hili swali la kupatia bank guaranteeSidhani...anywys sijui..mayb...kwamba ukinywa unataka dudu? Duh...
Six million ways to die, choose one.maisha ya dunia hayadumu kila mmoja ataondoka dunia hii kwa njia yake
Ni wazi kuwa huwa hulisomi na hulijui Neno la Mungu.Wew acha ulongo, lazma ufe kwanza....kifo hakiepukiki ukisha zaliwa.
Utadhani ulikua unaishi nae nyumba moja ya kupanga!Imenisononesha sana, alikuwa muungwana sana yule dada, hakuwa na makuu
Jidanganye, kila nafsi itaonja umauti.Ni wazi kuwa huwa hulisomi na hulijui Neno la Mungu.
Chukua Biblia yako soma 1 WATHESALONIKE 4:15-17., 1WAKORINTHO 15:51-52.
Yesu ni Mwokozi