Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

Kamanda Kingai ameeleza kuwa bodaboda waliokuwa wamepaki jirani na eneo hilo walishuhudia gari lililowashaa taa likisimama kwa dakika mbili kisha wakaona mwanamke ametupwa.
Ingekuwa enzi zile hao bodaboda wangetumia mbinu mbadala kulitambua hilo gari, ila vijana siku hizi ndiyo hao walibaki wakishangaa
 
Ingekuwa enzi zile hao bodaboda wangetumia mbinu mbadala kulitambua hilo gari, ila vijana siku hizi ndiyo hao walibaki wakishangaa
Unajuaje Kama hilo gari halinatambuluwa? Yaani waliomuua watakamatwa tu...
 
Mama wa watu wamemuonea bure,huu ni unyanyasaji wa kijinsia ,ndio kwanza alikuwa mlemavu wa mkono mmoja...
 
Duh...hakuna uongozi wa nchi ambao haujawahi kupitwa na vifo au mauani....unataka nikiuwekee ushahidi??
Kwani nimesema tawala zingine hapakuwa na mauaji hadi utake kuniwekea ushahidi kunithibitishia yalikuwapo?! Labda mwekee huyo anayejaribu kuonesha kwamba mauaji yalishakoma, na kwahiyo anaona hili ni kama jipya!!
 
Ok orodhesha hapa hayo yanayodaiwa ni mauaji
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom