Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

1954

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
9,407
2,000
Kwani nimesema tawala zingine hapakuwa na mauaji hadi utake kuniwekea ushahidi kunithibitishia yalikuwapo?! Labda mwekee huyo anayejaribu kuonesha kwamba mauaji yalishakoma, na kwahiyo anaona hili ni kama jipya!!
Ok orodhesha hapa hayo yanayodaiwa ni mauaji
 

zanzibariani

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
411
500
mkenya aliyejigeuza kuwa mtanzania
Tanzania bana yaani TISS wanashindwa kumchunguza mtu kama ni Raia au sio raia.hadi mnampa secta nyeti??? Viongozi ndio maana wanapata aibu...


Wale wanaotoa adhabu ya kukalia chupa hadi izame...ukiingia sehem za mateso ukutani damu zimetapakaa..kuna watu wanroho mby sana. Ndio wanaokufa wametoa ulimi
 

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
18,365
2,000
Polis wetu kwa upepelez wako vzur

Semea kuna wakati wanakua wajinga.


Hapo weshafatilia kwenye simu,.meseji na sim zote


Watakamatwa tu hao, siku chache
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom