Dar Mpya Media: Hatutaomba radhi habari ya Patrobas Katambi

Punguzeni hasira! Siasa sio ushabiki wa yanga na Simba, kwangu katambi yupo sahihi tu kwa clip hiyo
 
Hii yote ashukuriwe mama, enzi za JIWE hakuna mtu angethubutu kumvimbia kiongozi hivi..
 
Nimemsikiliza eti nae huyo ni mbunge na naibu waziri
Aibu kwa wote waliompigania akafika hapo.
Huyo ni mbunge kijana ambaye amevimbiwa mapema,asaidiwe asirudi
Kipi kibaya akichoongea???? DarMpya wameandika kizandiki tu, ila ameongea vizuri sana. Ss WaTZ tunatumika vibaya sana na wanasiasa. Hali kama hii imepelekea mpaka mtu asiye na elimu awe kiongozi wa chama kitaifa kisa tu chama cha Mkwewe. Msikilize vizuri kisha rudi kwenye Darmpya (CHADEMA) walivyaiandika.
 
Kwa clip niliyoiona hapa ingekua Uhuru Media wanairipoti hii habari wangeandika 'Katambi awaasa vijana waache ulalamishi' mtu neutral angeweza andika 'Katambi ashangaa vijana kwa ulalamishi na kuchagua kazi' ila aliyeandika 'Katambi alaumu vijana' nafikiri ni kweli amekosea.

NB: Assumptions ni kulingana na klipu.
 
Back
Top Bottom