Dar Mpya Media: Hatutaomba radhi habari ya Patrobas Katambi

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Kama msimamizi wa DAR MPYA MEDIA LIMITED (Darmpya Blog&Tv Online) nasisitiza habari iliyoandikwa kumhusu N/W Katambi kuhusu kauli yake kwa vijana wa Tanzania ni maneno yake na hatuwezi kuomba radhi kwa sababu hatujakosea,Ushauri: asipoteze muda kutishia Media h.

John Marwa
CEO

Katambi.jpg
 
Kama msimamizi wa DARMPYA MEDIA LIMITED (Darmpya Blog&Tv Online) nasisitiza habari iliyoandikwa kumhusu N/W Katambi kuhusu kauli yake kwa vijana wa Tanzania ni maneno yake na hatuwezi kuomba radhi kwa sababu hatujakosea.

Ushauri: asipoteze muda kutishia Media hii.
John Marwa
CEO


IMG_20220116_201025.jpg



Screenshot_20220116-201100.jpg



Habari kamili waliyoandika DarMpya Blog ni hii hapa mpaka Katambi akawataka waombe radhi.

Screenshot_20220116-201317.jpg
 
Back
Top Bottom