Dar: Moto wazuka Magorofa ya Mwenge karibu na TRA

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Habari wakuu,

Kuna moto unawaka Magorofa ya Mwenge, yanayoitwa Magorofa ya Jeshi pale karibu na TRA.

Zima moto bado hawajafika, na moto imazidi kusambaa..
IMG-20190904-WA0013.jpeg
 
Ghoroma kama hili halina system za maji ya kuzimia moto kwa maana ya Hose rail hapo chini au kwenye corridors au system yeyote ya fire karibu ya jengo kiasi kwamba connection inaweza tu kufanyika hapo karibu na hata raia wa kawaida tu akapambaan na huo moto..

Masikhara na na kutowaza mbali kuna siku tunaweza kuunguza mji kama sio jiji, Watu wa zimamoto hebu acheni mifumo ya kizamani jaribu kuwa na mifumo mipya ya kupambana na mioto, maeneo ya miji yanatakiwa yawe na connection za maji ya kuzimia moto ambayo mtachukulia kwenye line za DAWASA, with your system permanent pressurized na kwa case kama hizi hata raia wengi wanakuwa trained na wanaweza kufanya kitu huku wakiwasubiri mkiwa mnakuja.. Pia anzisheni vituo vya fire brigade kwenye maeneo yenye msongamano kama Sinza, Manzese, Temeke, Mbezi nk na sio kutegemea mtoke mbali huko muende kwenye tukio..
 
Back
Top Bottom