Dar: Mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA, uamuzi wa rufaa ya kina Mdee, Bobi Wine yupo

Tabia ya matusi kwa vijana wa chadema mitandaoni sio kwa act tu hata humu ukipishana nao hoja wao matusi tu mpaka unashangaa hiki chama kinatetewa na wavuta bangi wataweza kweli kuchukua nchi?
sijui kwanini watu wanakuwa na ubongo wa samaki
hii kauli ameisema kwa kurejea ACT kudai wao wanaanza na tume huru halafu katiba mpya akasema yale ni maoni yao na yaheshimiwe sio kuanza kutukana kwakuwa tumetofautiana kama tulivyokuwa tunamtukana Babu Duni kipindi fulani Mbowe akiwa mahabusu
 
Mwamba yuko sahihi
qRI8Gs7.gif
 
Tabia ya matusi kwa vijana wa chadema mitandaoni sio kwa act tu hata humu ukipishana nao hoja wao matusi tu mpaka unashangaa hiki chama kinatetewa na wavuta bangi wataweza kweli kuchukua nchi?
Kuna vijana wa hovyo kama Mdude Nyagali na Martin Maranja Masese, hovyo kabisa wale jamaa
 
Hii sio Awamu ya matusi Awamu ya Matusi iliyokuwa ikituwinda kama Digidigi imeshasitishwa na Maulana.
 
Ben Saanane yuko wapi?

Unaweza kuyasema hayo maneno yako mbele ya Lissu?
Lini tofauti za kisiasa zikaondoa STAHA ya binadamu ?!!!!

Kukosoa si matusi ,kedi na dhihaka....

Kongole kwake mh.F.Mbowe

#Siempre JMT
 
Kaongelea, uliza swali lingine
Mliomsikiliza huyu Mkt wa maisha wa CDM mmesikia kaongelea lolote kuhusu kupanda bei za mafuta na bidhaa nyengine nchini? Ama ni mwendo ule ule wa ujasiria siasa aka kubadil gea angani?
 
Kwa nini hukusikiliza hotuba yake?
Chama Kikuu cha upinzani nchini kimeongelea chochote kuhusu kupanda bei za bidhaa mbalimbali nchini ama akili za chama zilondoka na DR Slaa? Narudia kama msisitizo kwani inawezekana CDM hamna current issues.
 
Ama kweli kwenye udhia penyeza rupia, baada ya ziara mfululizo za Mbowe kwenda Ikulu kuonana na Mh Rais Samia hatimaye leo kwenye mkutano wa Baraza Kuu la chama amepiga marufuku wanachadema kuisema vibaya serikali na viongozi wake.!

Huku mitaani watu wanajiuliza CHADEMA imegeuka tawi la CCM rasmi?

Wewe ulitaka afurahie matusi badala hoja
 
Huyo mbowe uliyekuwa unamtetea ndo leo amekukana uache kutukana watu.
Mbowe angefungwa Kama asingenyoosha mikono juu.
Wenzenu waliijenga kesi wakaipanga na wakajipanga.
Unaweza kuniambia urafiki wa mbowe na urio ulikuwa unahusu Nini?
Ulikuwa unashadadia Mbowe afungwe!

Maajabu hayataisha.
 
Back
Top Bottom