Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Halafu kuna vijeba vinataka sheria ya kumiliki silaha zifanyiwe marekebisho ili kila anaehitaji kutumia silaha atumie, Bila kugundua kwamba raia wengi wana matatizo mengi ya akili, hawana utulivu katika maamuzi yao, Sasa sheria ikifanyiwa mageuzi ili watu wengi waweze kumiliki silaha na kuongeza mapato ya Serikali Nchi itageuka ya fujo kila mahali.
 
Wakati watu wengi vichwa vyao haviko sawa
Wakishalewa tu shida
Silaha hutakiwi kwenda nayo kwenye sehem za starehe
Huyu marehem tangu aimiliki silaha alikuwa akikaa na watu kdg tu kaionesha,Mara anaiweka mezani....bastille unaifanya kma sim

Ova
 
Alex alikuwa na sifa tunaomjua Wala hatujali ngapi tumeumia tu kamuua mwenzake.
Kuna Xmas aliweka m 10 mezani watu wale na kunywa
Alikuwa na sifaaaaaaaaaa mpaka unachoka yaani
 
Ni Bar ya Machalii wa Araa/Madalali na Mission Town wa Dar ... UJINGA MWINGI MNO... Watu waliokuwa wanaitwa VIFARU,MWAMBA,MNYAMA wa enzi za Mererani,Azam,Longroom wakafulia hapo ukaa na KULAUMU KILA KITU Serikali,Upinzani,Covid,Rais aliyepo,Wabunge,Mzunguko wa hela... USIOMBE UENDE HAPO ukienda na Laki (Wakajua) ukazungusha Round 2 kwenye meza ya watu wa5 Watapigiana simu watajaa hapo wahakikishe imeisha...
eti wanalaumu kila kitu
 
Alikuwa babe wangu kitambo
Fighter Sana wa maisha.ila alikuwa na sifa dunia nzima yaani.alizaliwa kwenye utajiri mzee wake akafulia hakukubali .jamaa alikuwa mbishi hadi kwenye maisha kweli bwana akaja akatoboa.miss u abdi Alex koroso.unakumbuka uzi wangu wa watu naoelewana nao?? Nilimtaja
Huyu si mtoto wa Mzee James Oraaa wa Majengo Moshi, baba yake alikuwa real money maker & fighter. Hawa ni wanyakyusa ila maisha yao wamekuwa Moshi.

Baba yake kamiliki mguu wa kuku kipindi Cha kina Raisi Mwinyi na akuwahi kusumbua raia na mtu wa watu.
 
Nafahamiana naye na tumewahi kukaa meza 1 lakini sikuwahi kuwa na amani naye anataka aongee yeye,Kila kitu anajua... Ubishi mdogo tu... Mfano Maeneo ya Oysterbay,Mikocheni,Mbezi Beach,Sinza,Kawe,Mbweni.Goba,Madale hayapo jijini Dar es Salaam HAPO MTAKAA SANA... ok all in all alikuwa Mpambanaji sana sema ndio hivyo...
dah!!! pombe kipaji kama mtu hawezi bora uache tu
 
Kwa mujibu wa maelezo yaliyoletwa hapa, hawa jamaa hawakua marafiki, wako baa wanakunywa, huyu mwenye duka la madawa akawa anatishia watu bastola. Inasemekana mziba pancha akamwambia sio vizuri kutoa bastola na kutishia watu, hapo ndio jamaa kamtandika na yeye akajimaliza.
akaamua na yeye ajimalize dah
 
Hao watu mjini hapo wako wengi
Jamaa akilewa alikuwa na shida,kiukweli
Pombe alikuwa hazimudu alitakiwa kuacha
Pombe au kupunguza unywaji
Unajua kuna watu wengine wakishalewa akili huruka,na kama alikuwa na matatizo ndy anakuwa mwendazim,ndy hayo

Ova
Sifa zake hazikuwa kwenye pombe hata
Naturally tu yupo hivo yaani
Tulioishi nae tunamjua
 
Halafu kuna vijeba vinataka sheria ya kumiliki silaha zifanyiwe marekebisho ili kila anaehitaji kutumia silaha atumie, Bila kugundua kwamba raia wengi wana matatizo mengi ya akili, hawana utulivu katika maamuzi yao, Sasa sheria ikifanyiwa mageuzi ili watu wengi waweze kumiliki silaha na kuongeza mapato ya Serikali Nchi itageuka ya fujo kila mahali.
Hebu fikiria hata Yule WA 'Dialo'alikuwa anamiliki silaha .
 
Back
Top Bottom