Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
13,314
2,000
Ile lodge wakati mpya nimetafuna sana watoto wa Sinza, ila baada ya muda flani ilichoka, customer care haikuwa nzuri sana. Masogange kabla hajatoka kivile alikuwa anakaa mitaa ile pia.
Kabisa ilikua kali sana room nzuri...shida jamaa alimwachia ndgu kusimamia ikachoka..sasa hivi ameikodishia
 

tibe_j

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
517
1,000
Tarehe 17/07/2020 mdogo wake 17/07/2021 yeye ?? Mshana unaneno gani hapa.
Screenshot_20210718-141501.jpg
 

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
21,404
2,000
Watu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na Kufumua Ubongo wake.

Habari zaidi zitawajia

MUENDELEZO...
===

Watu wawili wamefariki Dunia katika baa ya Lemax iliyopo Sinza kwa Remmy mkoani Dar es Salaam. Baada ya mtu aliyekuwa amelewa kumpiga risasi na kumuua mtu aliyekuwa akimuonya mlevi huyo kuacha kitendo cha kuonesha hadharani silaha aina ya bastola ambapo mlevi huyo akamuua kumuua aliyekuwa akimuonya na kisha kufyatua risasi hewani kabla ya kujiua.

TAZAMA MASHUHUDA WAKIELEZA TUKIO HILI HAPA CHINI: (Video Credit ITV)

View attachment 1857511
Marehemu (muuaji ) enzi za uhai wake akiwa anafunzwa/fundishwa silaha jinsi ya kulenga/kupasua kichwa cha adui.
 

mama kubwa

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,803
2,000
Halafu kuna vijeba vinataka sheria ya kumiliki silaha zifanyiwe marekebisho ili kila anaehitaji kutumia silaha atumie, Bila kugundua kwamba raia wengi wana matatizo mengi ya akili, hawana utulivu katika maamuzi yao, Sasa sheria ikifanyiwa mageuzi ili watu wengi waweze kumiliki silaha na kuongeza mapato ya Serikali Nchi itageuka ya fujo kila mahali.
Hebu fikiria hata Yule WA 'Dialo'alikuwa anamiluki silaha'.
Khaa huyu bwana alikua mshamba sana
Kuna mwingine yumo humu kila reply anaweka dislike Naona na yeye tayari kimeshaumana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom