Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,189
- 12,365
Upo bar gani kwa sasa kiongozi?Mabaaa karibu yote yanasikiliza kinachoendelea uwanja wa ndege. Huyu jamaa ni charismatic leader. Jk watu walikuwa hawako interested hivi kusikia speech zake wala hazikuwa na mvuto.
Jpm anavutia wengi mno ndo mana watu wanasubilia speech zake wako radhi hata wasile.
Ikitokea leo akatoka bila kuongea watu hawataridhika kabisa wanamsubili yeye tu wengine ni mbwembwe tu