DAR: Mahujaji 100 waachwa solemba Airport, Sheikh Mkuu aiwakia kampuni iliyowatapeli

Bakwata ni ccm wing kama ilivyo uvccm au UWT.

Waislamu ipo siku watamwelewa vizuri Sheikh Ponda.

Wapo mazuzu wanaodhani wakristo hawana safari za hija, Wakristo wanakwenda hijja Israel lakini mbona hatujawahi kusikia uhuni huu wanaofanyiwa waislamu kila mwaka? Au hili nalo ni mfumo kristo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe kuwa hili ni tawi la CCM kama matawi mengine.
 
Sio Mara ya kwanza kwa mahujaji kutapeliwa, na hao bakwata hawana la maana wanalolifanya kwani haiwezekani haya mambo yanajiridia rudia na wameshindwa kutumia akili na kutafuta njia nzuri ya kuwapatia usafiri wa uhakika.
Au nao wamo
Hizi ni zama za soko huria BAKWATA hawana MONOPOLY power wala MANDATE ya moja kwa moja dhidi ya taasisi hizi zaidi ya kutoa ushauri kwa serikali, japokuwa taasisi hizi zimesajiliwa chini ya umbrella za kiislam lakini ni makampuni yanayojiendesha ktk misingi ya kibiashara.
 
Hizi taasisi ziko nyingi sasa. Ni wakati sasa wakung'amu ipi ya kweli na matapeli

Poleni sana Mahujaji
 
Siku nyingine wakahiji vijijini kwao.
"Mnaweza msinielewe"
 
Hizi ni zama za soko huria BAKWATA hawana MONOPOLY power wala MANDATE ya moja kwa moja dhidi ya taasisi hizi zaidi ya kutoa ushauri kwa serikali, japokuwa taasisi hizi zimesajiliwa chini ya umbrella za kiislam lakini ni makampuni yanayojiendesha ktk misingi ya kibiashara.
Kweli kabisa maneno yako.
Bakwata gharama zao kubwa sana twice the price i think
Sasa makampuni mengine ni honest lakini wapo wanaofanya utapeli kwa maana hiyo sio biashara kama utamfanyia mtu hiyana
Watu wamekuwa na tamaa sana
 
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhaj Mussa Salum amesema taasisi iliyokusanya fedha kwa waumini wapatao 100 na kushindwa kuwasafirisha kwenda hija, isakwe na kuchukuliwa hatua za kisheria.

Tangu Agosti 23, waumini hao wamekwama Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Julius Nyerere baada ya taasisi hiyo (jina linahifadhiwa kwa sasa) kuchukua hadi Sh10 milioni kutoka kwa kila hujaji, lakini ikashindwa kufanikisha safari hiyo.

Sheikh Salum alisema jana kuwa kuna haja kwa wahusika wa taasisi hiyo kusakwa, kukamatwa na kushtakiwa mahakamani kwa kuwa licha ya kuwatapeli mahujaji hao, imesababisha washindwe kutimiza azma yao ya kufanya ibada hiyo.

“Zipo taasisi zenye tabia ya kuwatapeli waumini na hii si mara ya kwanza. Niwape faraja mahujaji waliokwama kwamba kama mwaka huu hawajasafiri labda Mwenyezi Mungu alipanga wasafiri mwaka ujao. Cha msingi ni kuwa makini na kampuni za aina hii,” alisema.

“Kuna waumini wengine wamezuiwa kuingia Saudi Arabia kwa sababu taasisi zilizowasafirisha nazo hazina vibali vya kuingia huko. Sasa ni kwa nini wasafirishe watu wakati wanajua wazi kwamba hawajatimiza vigezo?”

Baadhi ya waumini waliokwama kusafiri wameiomba Serikali kuingilia kati ili warejeshewe fedha zao. Walisema mpaka jana jioni hawakuwa na taarifa zozote kuhusu safari yao, wakati fedha zote walishailipa taasisi hiyo yenye ofisi zake Kariakoo jijini hapa.

Mmoja wa watu waliokuwa wasafiri, Ummy Sekibo alisema licha ya jitihada za kutoa taarifa kwenye taasisi za kidini, vyombo vya habari na Jeshi la Polisi bado wameshindwa kuondoka.

“Hakuna matumaini tena kama taasisi hii inaweza kutusafirisha, maana tangu Agosti 23 tumeganda hapa na hatujui tufanye nini,” alisema Sekibo.
Ummy alisema kwa sababu lengo lake lilikuwa ni ibada, ameanza mchakato wa kutafuta fedha nyingine haraka ili aweze kusafiri huku akiendelea kushughulikia fedha zake ‘alizotapeliwa.

Mwingine aliyejitambulisha kwa jina la Rajab Tendwa, alisema kila muumini amelipa fedha kulingana na makubaliano na taasisi hiyo. Walilipa kati ya Sh8.5 milioni hadi Sh10 milioni.

View attachment 575875View attachment 575876View attachment 575877View attachment 575878
sasa haya si mambo ya imani? Kuna mungu kweli hapa au watu wanajitaabisha kwa imani za ajabu duniani?
 
Babako alimsaliTi mamako kwakuliwa tigo na Padre

Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
Hahaha...punguza jazba kijana wa Mudy.

Abdullah Ibd Muha'mmad (Muhammad S.A.W) si alimbaka mtoto Aisha wa miaka 9 huku yeye Mudy akiwa keshaolewa na Bi Khadija wa miaka 40?

Twende taratibu sheikh..usiwe kama wale wa ubwabwa wa manjano.

 
Hahaha...punguza jazba kijana wa Mudy.

Abdullah Ibd Muha'mmad (Muhammad S.A.W) si alimbaka mtoto Aisha wa miaka 9 huku yeye Mudy akiwa keshaolewa na Bi Khadija wa miaka 40?

Twende taratibu sheikh..usiwe kama wale wa ubwabwa wa manjano.

Kama alibaka Maana yake alikuwa Mwanaume Machine, Yule Mungu wako alietandikwa na Wahuni alikuwa Mchele Mchele maana hakuwahi walau kukutwa na Dem ghetto Maisha yake yote ? Au alikuwa na Kidudu Kama kipipi Kifua maana pamoja na kufungwa nepi Mtini kulikuwa hakionekani?
 
Kama alibaka Maana yake alikuwa Mwanaume Machine, Yule Mungu wako alietandikwa na Wahuni alikuwa Mchele Mchele maana hakuwahi walau kukutwa na Dem ghetto Maisha yake yote ? Au alikuwa na Kidudu Kama kipipi Kifua maana pamoja na kufungwa nepi Mtini kulikuwa hakionekani?
Hahaha...kwahiyo unamtetea Muhammad (S.A.W) kwa ubakaji wa mtoto?

Mnathamini sana ngono kuliko kuponya roho za Waumi'nin ndio maana kuna zile ahadi za Akhera

 
Bakwata kuing'oa ni ngumu sana!, tumejaribu sana tukiwa na nguvu zetu tukachemka,

'Nondo' zilizojengea 'Nguzo' za Bakwata zime toka Usalama wa Taifa na zimejichimbia chini kweli kweli
Niliambiwa hata Mashekh maarufu na waliokuwa wakosoaji wa Serikali miaka ya tisini baadaye ikafahamika kwenye "cycle" kuwa ni wa kitengo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom