Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 9,722
- 10,801
DAB anawachora tuHuyo Mussa Twalib amechukuliwa kuwa kama "scapegoat" wakati wahusika wa utekaji na kutesa watu, wakiwa wanapeta mitaani😁😁
DAB anawachora tuHuyo Mussa Twalib amechukuliwa kuwa kama "scapegoat" wakati wahusika wa utekaji na kutesa watu, wakiwa wanapeta mitaani😁😁
Soon wasiojulikana watatoka likizo tumetoka BujumburaHuyo Mussa Twalib amechukuliwa kuwa kama "scapegoat" wakati wahusika wa utekaji na kutesa watu, wakiwa wanapeta mitaani😁😁
Mo anasema alifungwa na nusu kanga tu kwa siku zote alizotekwaHahahaaaa...... Wazungu wawili!
He is their agent, equation solved.Mzee awadai fidia.
NANI ALIMTEKA MO au HAKUTEKWA?Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemfutia kesi na kumwachia huru dereva taksi Mousa Twaleb aliyekuwa akituhumiwa kuhusika na tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu, Mohammed Dewji almaarufu ‘Mo Dewji’.
Twaleb alipandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza Mei 28, 2019 akikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kumteka Mo, tukio lililotokea alfajiri ya Oktoba 11, 2019 wakati mfanyabiashara huyo akielekea mazoezini katika Hoteli ya Colosseum iliyopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Bilionea huyo aliachiliwa huru Oktoba 20, 2019 zikiwa ni siku tisa baada ya kutekwa baada ya watu waliomteka kudaiwa kumtelekeza kwenye viwanja vya Gymkhana.
Tupe taarifa hiziHii ni maigizo, tekaji kuu lilishakufa