low thinking capacity
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 1,321
- 1,487
Daaah hasara hiyo
Harafu zote zilizoungua hapo pia ni NISSAN TUPUNissan zitakuwa na hitilafu mahali,
Magengeni kuna JINI MKATA KAMBA mkuu yupo mahali hapa hachezi mbali kafara kila kukichaHapo boko magengeni kuna nini? Miezi mitatu iliyopita ile fuso ilizoa watu kama 10 kwa kukosa breki....
Poleni sana
Kuna kagari ka dadaangu kaliungua kwa style hio hio, ilikuwa ni nissan bluebird/sylphy. Iliwaka tu overnight hatukujua chanzo ikateketea into ashes!Harafu zote zilizoungua hapo pia ni NISSAN TUPU
kasema hapo anamwachia MUNGU