Dar: Magari 8 yateketea kwa moto katika kituo cha mafuta cha OIl COM kilichopo Boko magengeni

Hii iliyoandikwa "NAMUACHIA MUNGU" imeungua yote tiki '(beyond maintanence)' isipokuwa hicho kibao chenye neno la sala!
Mshana Jr, tusaidie kututafsiria huo muujiza.
 
Kupani magari vituo ya mafuta ni risk sana hata kwenye ofisi za (,ccm) gari moja yenye hitilafu huweza let's bala Kwa mengine ,hapa kuna haja kudisconect batteries
 
Hapo ndipo umuhimu wa kuegesha gari na kuacha funguo kwa wahusika(walinzi) au mamlaka husika unapoonekana kwani linapotokea janga ni rahisi kuokoa magari mengine
 
Ukisikia kulala Tajiri na kuamka masikini ndio huku....wenye magari km hawajakata bima imekula kwao
 
Mmiliki wa hilo ghorofa hapo nyuma atakua ni mtumbuliwa tu, atakua hana hamu na hii serikali
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom