Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Status
Not open for further replies.
Kwa wale waliokuwa na shaka kwamba CHADEMA ni Chama Cha Dini ile someni michango yao hapa utapata Majibu

Akili zako zimeishia hapa sio? Kwani polisi wanapoangalia kundi la watu wanaoandamana na kuzuia maandamano wanapaswa kuangalia ni wa DINI gani au CHAMA gani? kwani Polisi ina dini au CHAMA? we haukuona Mwenge waliingia na kupiga hata mabomu kanisani kwa Mwingira na kukamata watu! Leo kwa sababu wanaandamana waislamu unataka tusiseme tukisema tunawaonea waislamu! Watu wamevunja sheria na ilitangazwa mapema watakaogomea sensa watashitakiwa,leo wamekamatwa mnaandamana waachiwe kivipi? si msubiri kuwatetea mahakamani? Acha kufikiri kwa akili za kuazima unapoamua kudhibiti maandamano hauwezi kudhibiti kwa kubagua eti wakiwa CCM waache,wakiwa Waislamu waache,wakiwa CHADEMA piga risasi!!
 
Jmushi1 huwa nakuheshimu sana comments zako lakini hapa sijui umeteleza au ushabiki, dah haya
Maandamano ya ccm "kwa mlango wa nyuma",we already know who's behind this ****.Hii counter ya ccm,ofcourse kwenye mwendelezo wao wa divide and rule.Msije mkashangazwa maandamano haya yakawa yanaitishwa wakati wa mikutano ya m4c.I can't believe this stuff.Nadhani tungeweka kipengele cha dini,halafu tuone kama ndugu zetu ni wengi madai yao yatakuwa ya aina gani.Kwasababu it doesn't make any sense.
 
Hawa mapolisi ni watu wa hovyo sana. Jana wazee wa kazi wamevamia Benki ya CBA pale jamana house hawakutia maguu hadi shughuli ya kupakia magunia ya fweza ilipokamilika na wenye fweza zao kuondoka.

Sasa wakisikia maandamano ya waislamu au Chadema wanavyokurupuka na migari yao huku wakiwa wamejitanda na mibunduki na mabomu huwezi kuamini kwamba ndio wale wanaowaogopa majambazi kama mungu wao.

Dah, yaani hata mimi hili huwa linanishangaza sana.
 
wana kibali cha kuandamana wakati huu wa sensa? Ikumbukwe Sensa inaisha 9/9 wanavuruga zoezi nao wapigwe Mabomu kama CDm
 
attachment.php


Angalia hilo jengo mali ya Exim Bank msiichanganye na Wizara ya Mambo ya Ndani.
Hapa wametuzuia tusisogee mbele zaidi kuingia hapo wizarani! Tumeamua tuzunguke upande wa Movenpick/Serena! Soon tutaiweka wizara kati! Mpaka kieleweke
 
Hahahah Rejao, support gani hiyo na picha ya ghorofa ya tano...
Ila seriously, i just hope YOU came for peace. Sipendi kuona damu ya mwananchi inamwagika wala amani inapotea hata kama tunatofautiana mtizamo.
BADILI id YAKO MAANA UNA AKILI SANA WEWE SIO Mentor BANA
 
Last edited by a moderator:
Hivi MasheKhe na Wachunganji/Mapadri walitoa tamko Lolote kuhusu msiba wa Mwandishi wa Habari?
 
Ni kweli maandamano yanafanyika kushindikiza kuuachiwa Waislam wenzao waliokamatwa kutokana na kukataa kuandikishwa sensa.

Vip gari za washawasha,bunduki za flying objects na mabomu aina ya mwangosi yapo around?
 
kwa utaratibu huu,hakuna pahala salama na penye raha kubwa kwa waislam zaidi ya taifa la kiislam!again,way to go!

hakuna kuiacha hisia ya imani yako popote, nilishangaa ritz na ile statement yake pale, dunia ya sasa kila mwenye imani yake inabidi aioneshe na aiteteee, no matter what
 
Hawa ndugu zetu nawashangaa, ndugu zao wamefungiwa Keko na Segerea, wao wanaandamana kwenda Wizarani, si wawafuate hukohuko wabomoe magereza wawatoe jamaa zao?

Huyo Ponda mwenyewe tunaambiwa alihesabiwa?
 


tatizo lako nini!.. mtu yoyote aliye tam,ka qalimah ni ndugu yangu! ... do you have any problem with that .. btw! nimependa comment yako about J- makamba.. kumbe sometimes network zinatulia
umeanza aisee....... tatizo huwa hamnielewi

thanks!
 
Hizo ni fujo!vp wakristo wakiandamana barabara zitatosha?kazi zitafanyika?,mbona wanampa wakati mgumu mwislam mwenzao kuongoza nchi,mbona wanawatega igp na kove (waislam)?
 
Give them a yard they take a mile.....

Hii yote inaletwa na serikali kuwa lege lege na siasa / dini kuingilia mambo ya msingi na sheria.., Sasa kama sheria ipo na imevunjwa kwanini mvunja sheria atake wavunja sheria waachiwe.., Do the Crime and you must Pay.., walijua fika kukataa kuhesabiwa ni kosa basi sasa either walipe hizo faini au waende jela.., after all ya Kaisari muachie Kaisari

upuuzi wa maandiko ya vitabu vyenu vilivyochakachuliwa uculete ktk imani ze2. Islam do recognise all, be it social issues, politics, economics and ol tht u knw are still a part and parcel of religion.
Hayo uyasemayo ni ya bible na c QUR-AN.
Behave guy.
 
Kwenye taifa ambalo haki za mtanzania zikipiganiwa,bado inakuwa kama ni haki za watanzania wachache ambao haki zao inabidi wazidai kwa mwavuli wa dini.Basi taifa hilo siyo stable,na hivyo ni kama hakuna Tanzania moja.Unless tutakuwa na agenda zenye kuliunganisha taifa kwenye issue za maendeleo ya wananchi wake wote.Basi tuna a big problem.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom