DAR LEO....Kunani Tena?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,870
155,827
Nimekuwa msomaji mzuri wa gazeti hili mtandaoni.

Lakini cha kustaajabisha ni kwamba tangu tarehe 18-02-2010 hamja update website yenu.

Kulikoni, mbona mnatutisha? Semeni tatizo ni nini ili tujue cha kufanya.
 
tulia haraka haifai weye uoni jinsi gani tz tunavo zubaa hata hapo upo
 
Labda mauzo yameshuka sasa wanataka wasomaji kama wewe wa online muanze kununua hard copies.
 
Ina virus!

edit_preview.php
 
Back
Top Bottom