Dar kurindima leo wakati vijana CHADEMA wakimkabidhi fomu ya kugombea Uenyekiti Freeman Mbowe

Mbowe Mkiti
Mwalimu Salimu Makamu Mkiti
Jacob BONIFACE Katibu mkuu
Halima Mdee Bawacha
Mdude Chadema Bavicha
John Heche Katibu uenezi maana mnyika haeleweki kwa sasa

Hapo ccm lazima iombe pooo
 
chadema wadeki barabara.jpg
 
Wewe ndio unatia kinyaa kukaa ndani ya kaptura ya Mbowe!
....unajidai huipendi CDM but kila dakika uko alert ku_respond kwa news zao, unapata tabu sana kijana!, na Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti CDM, uwaambie na wenzako lumumba.
 
....unajidai huipendi CDM but kila dakika uko alert ku_respond kwa news zao, unapata tabu sana kijana!, na Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti CDM, uwaambie na wenzako lumumba.
Afadhali umemweleza ukweli huo mchungu
 
Huyo Mbowe jana kaiambia Mahakama anaumwa dengue......leo anafanya sherehe ya kujikabidhi fomu.... Yaani Ufipa ni full comedy!
Ndio nami nashangaa. Kumbe aliidanganya mahakama kuwa anaomba apumzike kumbe anaenda kufanya komedi ya kuchukuliwa fomu (Kama Mzee Amir Bamchawi?). Naishauri mahakama aidha imwite kesho mahakamani aendelee na kesi au afutiwe dhamana kabisa! Mahakama haichezewi!
 
Mkuu ruzuku ya mil 326 kila mwezi wanayolipwa Chadema na kodi za wanaccm zimo......usisahau hilo!

Vipi mmeshamkabidhi Mangi hiyo fomu?!!

Kwa hiyo unataka kuwapangia CDM nani wa kuchukua fomu na nani aache, nani achaguliwe na nani aachwe? Walishawahi kufanyia kazi mapendekezo yako mkuu?
 
This is Too low for Mbowe, eti sitaki nataka wakati roho na akili zote ziko kwenye mchuzi.
Sioni mabadiliko yakitokea cdm, mfalme chairman mbowe.
 
Back
Top Bottom