Dar kupata mkuu wa mkoa mpya?

BA-MUSHKA

Member
Nov 22, 2010
66
2
Kuteuliwa kwa Mh. William Lukuvi kuwa waziri kunaiweka nafasi ya ukuu wa mkoa wazi. Sijui tutegemee nini kwa ajaye.
 
Kuna yule babu wa kagera,mzee Kamanda Tibaigna(lawyer) anaweza kukaa pale na anapaweza.
 
vyanzo visivyo rasmi vimeripoti kuwa JK anajiandaa kumpunguzia machungu dada yetu batilda
buriani kuwa preimier wa dar es salaam! wanawake kweli wanaweza. thanks
 
Ataendelea huyo huyo Lukuvi si unajua tena! Au Makamba atarudishwa baada ya uchaguzi.
 
Nimegundua binadamu ni wambea, balaa, wanapenda kujua ya mbele. si msubiri mbona mlitudanganya ohhh january, mara kilango, mara Meghi, mara tibaijuka upm, mara EL
 
Nimegundua binadamu ni wambea, balaa, wanapenda kujua ya mbele. si msubiri mbona mlitudanganya ohhh january, mara kilango, mara Meghi, mara tibaijuka upm, mara EL

Aisee nakumbuka hata Lowasa walisema atapewa uwaziri mkuu, alipokosa wakasema atapewa wizara wa tamisemi.
Mara Rostam Azizi atakuwa Waziri wa Fedha.
 
Back
Top Bottom