Dar kumepoa hadi raha, I wish kusingekuwa na joto kama hivi mwaka nzima

Leo baridi ni 22 degree kudadeki soon tunaingia kwenye 20 degree kisha tunashuka hadi 19 degree
 
Kuna mida unahisi mji unachemshwa kwenye maji ya moto...Joto la hatari

Miti ni wazo zuri lakini nani anasimamia hilo zoezi??

Kila mmoja ni siasa za uongo uongo na kusifu
 
Naona mji tu upangiliwe vizuri watu wajenge kwa nafasi hewa itazunguka vizuri tu.....miti hata ukipanda ya kutosha kwa huku kubanana sijui kama itasaidia......ukienda maeneo ya pembezoni mwa dar ambako hakujajengeka sana au wamejenga kwa mpangilio hali ya hewa ni nzuri tu kulinganisha na huku watu walipobanana
 
Wazo la Kupanga Miji naona kwa Nchi zetu hizi sio la mhimu hili ni jambo la kushangaza sana Miji karibu yote imejaa squtter
 
Back
Top Bottom