miss_mbeya
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 1,073
- 1,021
KulichiUsirudi mkuu karibu kwangu nikulee ufanane na wa type ya mwenye uzi
KulichiUsirudi mkuu karibu kwangu nikulee ufanane na wa type ya mwenye uzi
Dar wangejivunia mimi
Haaaaa wajivunie we we khaaaDar wangejivunia mimi
Nimezungukia vimikoa kadhaa ila Dar madem wengi ni wasafi sana.
Pia wanajua kujipamba na kujiremba.
Mikoani wanawake wa aina hii wapo ila sio wengi sana kama Dar.
Ndiyo wanawapendaBahati mbaya wanaambulia wanaume wa Dar,
Umewahi kuniona? Mimi ni mrembo,bongo hamna mwanamke mzuri zaid yangu
Umewahi kuniona? Mimi ni mrembo,bongo hamna mwanamke mzuri zaid yangu
Hahaha demu anakaa na makopo ya kukojolea ndani duh aiiiseeeMademu wa mikoani ni shida.
Kupika wanajua kusokota udaga tu !
Mavazi!
Kitandani,kifo Cha mende basi! Hakatiki
Jeuri
Wanakuwa na kopo la kukojolea usiku!
Usafi nil
Kujipenda nil
Ki ukweli ni changamoto.
Nitakae oa atakua nayo
Wapo sana tuu mkuuKwa Dr utapata tabu sana kumpata
Nilidhani mimi pekee yangu ndio nawaona hivyo.Alafu wengi sura zao zimefanana
Na vimwili tufupi tufupi.
HahahahahaNilidhani mimi pekee yangu ndio nawaona hivyo.