Dar kumejaa wanawake wazuri sana

Akili 2

JF-Expert Member
Jul 2, 2018
1,221
1,827
Habari,

Kweli nimeamini mjini ndio kila kitu! Hivi hawa wanawake wanao patikana hapa dar mbona wako tofauti sana na wa mikoa mingine?

Wale wanaume mnaokaa huko mikoani njoneni mchukuwe wanawake hawa maana ni...

1. Wazuri sana
2. Wanajuwa kupika
3. Wanajuwa mambo ya 6*6
4. Wasafi
5. Hawana malingo ya kipumbuvu
6. Wanajituma kwenye shughuri za maendeleo
Wako tofauti sana na wa kule kkwetu Arusha

Hawa wanatoka wapi?
 
Mimi sijakuona cute ila naamini wewe ni mzuri Kama ulivyojisifia
Nakuuliza swali la kizushi
Uzuri upo kwenye mashine Je mashine upande wako inasaga au inakoboa?
Umewahi kuniona? Mimi ni mrembo,bongo hamna mwanamke mzuri zaid yangu
 
Back
Top Bottom