Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,879
- 8,800
Pale TAZARA kulikuwa na matumizi mabaya ya akili hali iliyopelekea matumizi mabaya ya pesa za watanzaniaNINGEPENDA KUPATA MREJESHO WA PALE TAZARA KWANZA
Pale TAZARA kulikuwa na matumizi mabaya ya akili hali iliyopelekea matumizi mabaya ya pesa za watanzaniaNINGEPENDA KUPATA MREJESHO WA PALE TAZARA KWANZA
Mkuu, ka Nairobi ni sawa tu na wilaya moja ya Kinondoni kati ya wilaya tano za jiji la Dar.Mkuu dunia ikisafunguka,naomba nikulipie flight ticket na hoteli angalau ufike na kutembea hapo Nairobi atleast akili ikufunguke
Utamkumbuka kwa kubadirisha ramani au kwa kutumia pesa yake ya mfukoni kujenga hayo madaraja mawili?Magufuli tutamkumbuka sana... abarikiwe sana na sana
Japo kuna mda kafoleni kanakuepogi kama unakuja buguruni ila kdg umepunguza machungu sio kama zamani.... ile zamani ilikua mateso ukianza kufikiria kupita pale tazaraNINGEPENDA KUPATA MREJESHO WA PALE TAZARA KWANZA
Mkuu upo serious au unatania tu?Mkuu, ka Nairobi ni sawa tu na wilaya moja ya Kinondoni kati ya wilaya tano za jiji la Dar.
Wacha kufananisha Dasilama na vitu vya kijinga!
Just imagine, miundombinu yote na maghorofa yote na majumba makali yote ya Ilala, Temeke, Kigamboni na Ubungo uweke kwenye wilaya moja tu ya Kinondoni.. Dar si itakuwa zaidi ya Dubai?
Kinondoni 531 km sq.Mkuu upo serious au unatania tu?
Jaribu kutumia Google yako vizuri harafu urudi kucomment
Nadhani that s the best flayover kwa nafasi iliyopo pale ubungo, magari yanayitoka say kimara kwenda buguruni, buguruni kwenda mjini, mwenge kwenda kimara na mjini kwenda mwenge yatapita chini kwenye round about na yale yanayonyoosha yatapita juu.Kazi nzuri japo nilichotegemea sio ninachokiona..sio mbaya!
Ngoja nimuite MK254 aje atupe ushuhuda..
Kweli kabisa!Nadhani that s the best flayover kwa nafasi iliyopo pale ubungo, magari yanayitoka say kimara kwenda buguruni, buguruni kwenda mjini, mwenge kwenda kimara na mjini kwenda mwenge yatapita chini kwenye round about na yale yanayonyoosha yatapita juu.
Ni ramani rahisi kuliko ile ya mwanzo but it s the best ukilinganisha na uchafu wa tazara
Stay home, stay safe
Corona kills
Na Mwenge Bunju?Foleni itaagwa Dar au Ubungo?
Una uhakika interchange hii itaondoa foleni ya banana ukonga au pale Kigogo round about?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa hiyo mkeo ana mawazo kama ya bia yetu?!Serious Wala sitanii kaka,mke wangu pia alikuwa na mawazo Kama yako,siku moja nikiwa Nairobi nikamwambia mama njoo,from that day alikili kuwa ni kweli ccm imetuchelewesha sana
So tulingishiane tulipo tembeleaMkuu dunia ikisafunguka,naomba nikulipie flight ticket na hoteli angalau ufike na kutembea hapo Nairobi atleast akili ikufunguke
Ndo best kwa Nairobi hiiAnyway kukujibu swali lako, hivi hapa vipande vya Thika superhighway Nairobi