Ni hatari sana askari anapoasi kiapo chake.
Ujambazi haujaanza leo, hata kipindi Cha Mzee wa ruksa walikuwepo, pia kwa jakaya walikuwepo!Hali tete mtaani,pesa hazishikiki
Malipo ni hapa hapa Duniani
Kuna matatizo makubwa katika vetting kupata vijana wanaoingia vyombo vyet vya ulinzi na usalama