DAR: Jeshi la Polisi lamkamata mtuhumiwa sugu wa utapeli

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,495
KUKAMATWA TAPELI.jpg
 
Ninalipongeza jeshi la polisi kwa kumkamata huyo mtuhumiwa wa utapeli nina wasihi waendelee na misako ya kuwakamata matapeli wengine waliosalia.
 
Mungeweka na Picha yake ili tumuone vizuri maana huwa wanakuwa na tabia ya kubadili majina mara kwa mara
 
Wizi wa kuaminika....nawewe ukitaka kuwa tapeli soma kitabu kinaitwa MBINU ZA MATAPELI kimeandikwa na Harlod Atu
 
Dah maskini huyu jamaa kaikosa X-mass hivi hivi. ukute alishafanya booking tare 23
 
Massaweeeeeee... hahaaa...!!
mbona ni tuhuma tu askari wanaweka kwenye media kweli sheria imeangaliwa hapo maana nilifikiri labda ni hukumu tayari
Je huyu mtuhumiwa akikataaa mashitaka na kusema kuwa ni ugomvi kati yake na askari
Tafadhalini zingatieni sheria na acheni kuchukulia sheria mikononi
 
Nawashukuru sana kwa maana hiyo ndiyo kazi ya Police hasa. Endelea hivyo hivyo kutimiza wajibu wenu.
 
Back
Top Bottom