DAR: Jeshi la Polisi Kanda Maalum kuwachukulia hatua kundi la kisanii la Orijino Komedi

Hivi wakuu kwa kawaida vyombo vyetu vya ulinzi na usalama hua wana uniform na combati!! Sasa kwenye combati pale juu kwenye mkono wa kushoto hua panakuwa na kamba!!hivi wakuu zile kamba hua zinakuwa niza nini!!ni hilo tuu wakuu!!
Mimi niliuliza nikaambiwa eti ni za kujinyongea kama umetekwa.
 
Niliwahi kuchangia nikasema katika watu wenye upeo mdogo wa kufikiri ni baadhi ya viongozi wa jeshi la polisi na nikasema zoezi la ukaguzi wa vyeti fake lianzia kwenye hili jeshi la polisi! Swali la kujiuliza ni je walizitumia kwa uhalifu? Mbona wenzetu wanatumia hadi za jeshi lao kwenye uigizaji? Yaani kwamba ni mavazi takatifu sana ambayo watu wengine hawawezi kuyavaa? Yaani kupata division four na three za mwisho ukaenda kuvaa majani na kuzurura kwenye jua pale ccp miezi sita naona sasa wamefanya tisa ndio hizo sare zinakuwa ni hatari kuvaliwa? Joho za graduate wanavaa hadi chekechea ndio hayo manguo yasivaliwe?
Issue ni kibali.....
 
Hivi zile movie za Wazungu huwa wanatumiaje sare za kijeshi au polisi? au unakuta wanatumia vifaa vya kijeshi kabisa hadi ikulu, pentagoni au makao makuu ya CIA yanaonekana kabisa
wanatumiaje aisee
Hii ndo Bongo ukigundua kifaa kwa kipaji chako labda umegundua jinsi ya kutengeneza silaha mbona utaozea jela wakikushika ila wenzetu wanakuendeleza ili kutumia mawazo yako
 
Moja kati ya sheria mbovu kuwepo bado Tanzania
Matter of fact nchi kama USA inahimiza wananchi wake kuvaa nguo za majeshi yao kuongeza nationalism
Gwanda za jeshi Pentagon zinauzwa madukani
Nikashangaa sana ndipo nikafafanuliwa why
Tshirt na suruali za mabaka ya jeshi ni nguo ya kawaida USA
Kuna watu hadi wanavaa kama askari wa maji nguo zao nyeupe na nyota zao begani
Kuvaa sare za Polisi au majeshi yyt ya Tanzania kutafsiriwe kama watz sasa wanaya enzi majeshi yao
Bunge futeni sheria hii ya kipuuzi ya kunizuaia mm nisivae aina fulani ya nguo
 
Mnabwabwaja kuwaponda polisi kwa kuzingatia Sheria?!!! watanzania akili zetu ni kama mbayu mbayu.

Sheria ipo kabisa ambayo inazuia yeyote asiye askari kutumia/kuvaa sare/vifaa vya kijeshi pasipo kibali. Sasa Police wanaposimamia law compliance, kosa la Police ni lipi hapo?!!!

Mbona kwenye kumiliki silaha watu wanafuata taratibu zote za kisheria? ila kwenye Sare za kijeshi mnataka watu wajivalie tu eeh? Kuongoza watanzania ni shughuli pevu aisee.

Sio kila kinachofanyika marekani basi na hapa Tanzania eti kifanyike tu! Marekani Sheria yao inaruhusu, hapa Tanzania Sheria bado haijaruhusu. Pia mazingira ya Marekani (developed countries) sio sawa na mazingira ya nchi maskini kama Tanzania ambapo matukio ya kihalifu (mfano wizi na ujambazi) bado yanatutoa jasho!

Mnaacha kupaza sauti za ku-advocate for LAW REFORM kuhusu suala hilo ili Sheria irekebishwe, nyie mmekalia kuponda police eti wanatafuta kiki, mara ooh eti wakafanye vitu vingine vya maana, nyie watu vipi? mnatumia nini kufikiri?

Mara nyingi tu, hasa hapa Dar, tumeshuhudia matukio kadhaa ya Traffic feki na mapolice feki kusimama barabarani na kukamata RAIA, sasa hali itakuwaje watu wajivalie tu sare za kijeshi hovyo hovyo?

Watanzania tufike mahali tuwe na 'reasoning'. Tuacheni kufikiri na kuhoji kwa kutumia mihemko ya kisiasa. Tuwe tunatoa hoja with free mind.

Mtu unayeng'ang'ania kufananisha mazingira ya Marekani (nchi ambayo imefika hapo ilipo leo after more than 100 years) na mazingira ya Tanzania (nchi ambayo ina 50 years after Uhuru), nakuona punguani wa head.

Ofcoz ni vizuri kuiga best practices kutoka kwenye nchi zilizoendelea, lakini SIO kwa kuvunja Sheria zetu za nchi.

Tupazeni sauti kudai law reforms ili kuendana na kasi ya maendeleo ya karne hii. Na sio kupayuka tu kuwaponda law enforcers wakati wanatimiza majukumu yao.

Hao The Orijino Komedi wamevunja Sheria. Inabidi wawajibishwe accordingly.

-Kaveli-
Binafsi ninachojua wasanii hawazuiwi kuvaa sare za jeshi wanpofanya kazi Yao, isipokuwa kwa kuomba kibali maalumu kwa taasisi husika. Nakumbuka tatizo lilianzia kwa kundi east coast (GK)ft, Jay dee kwenye kibao cha "ama zangu ama zao" walipovaa kombati za mtumba, JW wakawabana, wakajieleza yakaisha, lakini msisitizo wa kutuombaa vibali ukawekwa, ndipo msanii wa Daz Nundaz(Ferooz) alipotoa single yake iliyofanya vizuri Sana kwa upande wa video ikianzia kukamatwa Na polisi(mwenye sare), kupelekwa mahakamani, Na baada ya hukumu akaingia kwenye gari la magereza kukiwa Na mbwa wa polisi Na baadaye kuonekana Kama mfungwa mwenye sare. Na pia Kuna msanii kundambanda Na filamu moja ya bongo comedy Kuna wadada wawili wameigiza Kama matrafiki,wote hao hawajawahi kupata msukosuko wowote!.
Hivyo nafikiri inawezekana orijino comedy hawakupewa vibali au polisi wametoa karipio bila kutangulia kuwahoji wahusika. Lakini Kama wamevunja sheria Ni haki Yao kupandishwa kizimbani
 
Hivi zile movie za Wazungu huwa wanatumiaje sare za kijeshi au polisi? au unakuta wanatumia vifaa vya kijeshi kabisa hadi ikulu, pentagoni au makao makuu ya CIA yanaonekana kabisa
wanatumiaje aisee
Holly wood na serikali ya marekani..ni kitu kimoja.. Holly wood inaisaidia..sana marekani kufanya propaganda zao..ulimwenguni.maana mara nyingi hizo movie ukiangalia..vinaendana na vitu vinavyofanyika wakati huu kwenye hii dunia.ama kutarajiwa kufanyika. Na waigizaji..wa holly wood wanafaidika..kwenye upande wa sheria wanakingwa..na serikali.. kwamba si rahisi upate muigizaji wa holly wood hata mwenye kesi kubwa namna gani eti ameshtakiwa..na kufungwa, hata ukiangalia. Anaweza kushtakiwa...lakini baadae kesi inaishia..hewani...
 
Kuzuia watz kuvaa magwanda ya majeshi yao ni upuuzi

Hapa USA hasa ukienda mitaa ya St Andrew Virginia kuna maduka ya mifano kama ya Pentagon na raia wanauza mavazi kama magwanda ya jeshi tena wanatangaza kabisa

Upuuzi huu usiushabikie!Tukivaa magwanda ya majeshi ya TZ tunahamasisha utaifa na eti kama tukivaa magwanda ujambazi utatamalaki ni upuuzi ungine

Mbona sasa hatuvai magwanda ujambazi upo wa kutisha bado?
 
Ushasema USA hii ni Bongo..

12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom