mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,902
- 2,096
Hivi zile movie za Wazungu huwa wanatumiaje sare za kijeshi au polisi? au unakuta wanatumia vifaa vya kijeshi kabisa hadi ikulu, pentagoni au makao makuu ya CIA yanaonekana kabisa
wanatumiaje aisee
Mkuu USA mavazi ya kijeshi Au yanayo fanana yanauzwa katika maduka maalum yanaitwa"military surplus store" mtu yeyeto anaweza nunuwa Na kuvaa ila usiseme Wewe ni mwajeshi Au kupata urahisi Ktk maisha Mfano
Kupata dili Au nusu bei ya kitu kwa sababu ya uwanajeshi ukikamatwa Wewe ni jela tu.
Chanzo:Google