Dar: Jengo la uwanja wa ndege la Terminal 3, linajaa maji mvua ikinyesha

Uwanja uliwahishwa ili mpenda sifa mmoja pate kiki,ilikuwa ukabidhiwe na mkandarasi mwakani sio mwaka huu.
Mkandarasi; Mheshimiwa mtukufu, mradi unaenda vizuri kulingana na ratibu hivyo tunategemea kuukabidhi kama ilivyopangwa Decemba mwakani.

Mtukufu Mwenyewe; Mkandarasi sioni sababu mradi huu ufikishe mwakani kwa nini usikamilike haraka na kukabidhiwa mwaka huu Decemba?

Mkandarasi; Sawa mtukufu utakabidhiwa Decemba hii hii kama unavyotaka.
Kigumu chama cha mapunduzi!!
 
Hapo mleta mada ataitwa eti mchochezi na sio mzalendo kana kwamba yeye huo uwanja haumuhusu vile na hatakiwi kuonyesha madhaifu....kama yule mwanafunzi wa UDSM alivyopata shida
 
mbona jambo la kawaida... "ENgineers are not always perfect so does the rest of the people "
 
Back
Top Bottom