DAR is 2nd EAC city in FDI inflows. Nairobi 1st, Mombasa 5th.,

There is a difference between FDI na town's contribution to the total GDP., FDI % is relative, it can happen massively anywhere in a country where investment is massive at a certain period., am foreseeing the lapsset corridor to take that soon., leo hii ni Nairobi.,

Now check facts how your villages called cities and towns outside Dar, vile zina contribute to your GDP., huge imbalance., ni mudomo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni kiazi sana soma ulicho andika awali " Weka mji nke ya Dar that can answer Mombasa in FDI or contribution to GDP?"

Hayo ni maneno yako ukichanganya vitu viwili kwa pamoja! Mimi nika ongelea upande wa FDI ila wewe unakuja kuni elewesha kuwa sifai kuonganisha wakati hiko ndicho ulikifanya wewe. Hiko hivi msee hii thread haina tena maana, mmeianzisha ku undermine Dar bila kuangalia the big picture. Vitu vimewekwa wazi mmepoteana. Nyie endeleeni kujikita kwa Nai na Msa ila mkija kulinganisha kwa nchi nzima Tz ndiyo the biggest FDI recipient in E.A for more than past 8 years in a row. Mmeshajua hamjui, sasa nendeni shule.

Ati wao wanasifia nairobi, ilhali kaskazini ni shithole, njaa balaa, nimeona picture na video za wakenya wa turkana walivyo na njaa, huko twitter, from fellow kenyans, buda, mtu amekoonda, ni mifupa tu, nimeona hipbone shape, covered with humanskin ya mtu hai. Nimeidharau sana kenya. And these fools are here praising nairobi fdi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulibadilisha jina ukasahau kubadilisha mwandiko.
Try to hide your stupidity under the bed.

name is nothing,but contents mrembo..
kiambu ni slum moja ya ukweli kabisa kila mtu anajua,vp ulishahama kibera,come oooon such a beautiful lady,how you manage to live in those shits?...mwambie shemeji akuhamishe aisee
 
Screenshot_2019-03-17-09-29-06.png
 
thisdayes na wenzako hii thread imewabana kighafla tena sio ripoti toka kwa wakenya bana... Don't kill the messenger bwana kamtafute mwandishi kisa umkosoe ila sioni wapi wamekosea hata chembe moja.
Nrb 8
Dar 14
 
Ripoti yenyewde imedhihirisha uzi sahihi ni DAR VS MOMBASA ama DAR VS ABIDJAN
 
Nafikiri kitu ambacho kinawasumbua ni kwamba hamjui Tanzania ina mfumo wa aina gani katika ukusanyaji wa mapato, sisi tuna kitu tunakiita Halmashauri au Councils huko kwenu mna Counties

Hapo Dodoma City Council imeongoza mapato dhidi ya Halmashauri nyingine zote Tanzania nzima zokiwemo Halmashauri zinazopatikana mkoa wa Dar na sio mara ya kwanza Dodoma City Council kuongoza.

Sio targets bali ni general revenue earnings per council.
Hio taarifa inasema Dodoma ilikusanya 14 Billion Tsh ambayo ni sawa na $5M , hivi unaka kusema jiji la Dar linachangisha pesa ndogo chini ya $5m kwa mwaka.......... And BTW, huku Kenya kila County iko na halmashauri ambayo ni sawa na city/town Council
1552904727072.png
 
View attachment 1048207
Mbona unakurupuka kizembe, halafu kama kitu hujui ni bora uulize upewe maelezo ya kina

Wapi kwenye hiyo attachment yako imeandikwa Dar imekusanya kiasi fulani? Imetajwa Halmashauri ya jiji la Dodoma, Halmashauri ya Ilala, Halmashauri ya Kinondoni hakuna Halmashauri ya Dar hata siku moja, halafu hiyo ni first quarter collection sio whole financial year

Kiswahili naona kinakupiga chenga na ujuaji mwingi wakati hujui.

Tanzania Halmashauri sio Town Council mzee kuna Halmashauri ya wilaya (District Council), Halmashauri ya Mji (Town Council), Halmashauri ya Jiji (City Council), Halmashauri ya Mkoa (Region Council)

Zote hizo zina terms and conditions of conducts and reasons why they're like the way they are and conditions of stepping from one status of Council to the next.
 
nionyeshe ni wapi inasema ni mkusanyiko wa first quarter
 
nionyeshe ni wapi inasema ni mkusanyiko wa first quarter
"......... Akitoa tathmini ya ukusanyaji huo wa mapato wa robo mwaka ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tamisemi), Selemani Jafo alisema Halmashauri ya Jiji la Dodoma imekusanya Sh14.4 bilioni kati ya Sh68.6 bilioni sawa na asilimia 21 ikifuatiwa na Ilala iliyokusanya Sh11.2 bilioni kati ya Sh56 bilioni sawa na asilimia 20, huku Kinondoni ikikusanya Sh7 bilioni kati ya Sh32.7bilioni sawa na asilimia 21........... "
 
Dar $3.4 bilion
Nairobi $5.9 billion
Nairobi imeizidi Dar karibu mara mbili yake, halafu kuna watu bila aibu hukesha humu wakijadili ligi za Dar vs Nairobi, unashindana na ndovu, utapasuka humo. Nairobi leo hii ligi yake ipo kwenye kiwango tofauti kabisa.
Kwahyo 3.4 times 2 ni 5.9 cyo?
If ulikimbia Mathematics shuleni, huku JF usijifanye Unaijua, Pambana Na Geography Yko!! Usitusumbue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom