DAR is 2nd EAC city in FDI inflows. Nairobi 1st, Mombasa 5th.,

Taarifa zinasema
Dar decreased by 4.75%
NBO increased by 25.1%

Nategemea unajua tofauti ya decrease na increase

Cairo unayoiabudu iambie tupo kwenye turbo charge mode na hivi karibuni tutabanana nao bumper to bumper
Taarifa kutoka source gani?

Sent using unknown device
 
Do you know Mombasa and Kisumu has better roads than Dar? And do you know Mombasa, Nakuru and Kisumu has better housing than Dar? Do you know Mombasa, Eldoret, Nakuru and Kisumu has better electricity connection than Dar?
Ukiondoa Nairobi, Kenya kote huko kwingine ni machakani kama upande wa kaskazini mwa Kenya ndio balaa, maendeleo yapo nyuma kabisa hata barabara maji, umeme hakuna kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiambu county is richer than Tanzania combined.
Ukiondoa Nairobi, Kenya kote huko kwingine ni machakani kama upande wa kaskazini mwa Kenya ndio balaa, maendeleo yapo nyuma kabisa hata barabara maji, umeme hakuna kabisa wakati Tanzania mtu angefikiri Dar ndio kungekua na huduma bora kuzidi maeneo yote za kijamii

Tanga sio kama Dar lakini kuna huduma ya clean and safe water 100% Moshi 100% etc wakati Kenya hakuna County inayopita Nairobi kwa maendeleo ya aina yoyote ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waarabu wa Misri ndio wamepewa tender ya kujenga stiglers gorge dam mradi wa $3bln
Nasikia wanataaluma wenu wamewajengea ukuta wa 10km kwa $35M
Siku mtakua na nidhan ya fedha mtawazidi hata Singapore lakin kwa mwendo huo mtasubiri sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwamba FDI ya Nairobi imekua kwa 25% na bado hatujagusia hata robo ya mambo yajayo ndani ya miaka mitano......safi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom