Dar HAKUKALIKI

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,592
29,711
hili joto linasababisha madhara sana kwa watoto na watu wazima.
jamani tunakabili vipi hili joto la dar???
 
Poleni jamani. Huku muheza ni kama Ulaya njooni tu huku kuna kila kitu bwerere hadi hali ya hewa
 
Usimkumbatie mwenza wako! tumia muda mwingi bar LOL just joking hii hali ni soo mazee
 
kimbia uvunjike....Yaeda ni mambo yote.......karibu asali
 
Pole Sana hiyo ndio DAR ,hapo ukiwa na kafeni kako umeme hakuna sijui watu wamalaumu nani?
 
Mie mwili-kibanda najua ndo nateseka naweza pia kuvumilia, ila haka katoto ketu kana mwaka na nusu sasa nakaonea huruma kanavyoanza kutoka vipele vya joto.

Preta. kwenu kuna umeme???
 
Dar mmezidi kutotoa. Hii ndo gavana muache kukumbatiana.
...halafu mtu ndo anakushawishi mkadumishe ndoa usawa huu. unaweza ukafa hujafika mbali maana kutweta ni ada hata ukipigwa na feni.
hali ya hewa hawajatoa mwelekeo wa wiki nzima?? ili tupange safari za ukimbizi kwa malengo
 
Mie mwili-kibanda najua ndo nateseka naweza pia kuvumilia, ila haka katoto ketu kana mwaka na nusu sasa nakaonea huruma kanavyoanza kutoka vipele vya joto.

Preta. kwenu kuna umeme???

umeme kedekede...wewe tuu
 
Dar mmezidi kutotoa. Hii ndo gavana muache kukumbatiana.

avatar30745_1.gif
ha ha haa haaa baba mama na watoto hapo kwenye avater yako bwi bwi bwi
 
uzuri vimaji vikichnganyikana na jasho hata taulo halifui dafu. inabidi tuelekezee feni.
 
Ndo natoka to job ahsibuhi hii. joto hili si la kuchezea.
Unaogopa hata kukwea mtungi aisee
 
Back
Top Bottom