Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,443
Ndo natoka to job asubuhi hii. joto hili si la kuchezea.
Unaogopa hata kukwea mtungi aisee
Hapo penye red/underlined ni mambo ya "night shift"?
Ndo natoka to job asubuhi hii. joto hili si la kuchezea.
Unaogopa hata kukwea mtungi aisee
mmmh, thats too low! I've been to a place somewhere where the temperature goes to 46-48 degree centigrade and last for about 6 months!Jana ilikuwa 33C leo 34C duuuh...
umejuaje???Hapo penye red/underlined ni mambo ya "night shift"?
wakispare Nyumba ya Sanaa na kuheshimu mazingira yaliyosalia at least joto litapunguakutunza mazingira na kuepuka ujenzi holela joto litapungua
Aisee, naenda kupanga foleni ikulu aanze kufunga AC kwangu... lolHivi JK hakuahidi kufunga AC kila nyumba?maana ahadi zilikuwa nyingi mno kuzikumbuka sasa
Ah nyama yao. huu mji sio wa kuchezea, ukisikia dar kuna baridi ujue unaweza hata kunywa soda inayotonatona wala usisikie hiyo baridi. just tanuri la kuokea mikate hili jiji. Tunaliweza ingawa kiranga tunakichezeakuna watu mnauweza huo mji, mie nikija huko naomba kinachonileta kiende sawa nirudi kwetu njoro. huo mji una wenyewe aisee.
Kosa lenu kuchagua CCM! Hahahahahahahahah Lol kila kitu singizia CCM
kuna watu mnauweza huo mji, mie nikija huko naomba kinachonileta kiende sawa nirudi kwetu njoro. Huo mji una wenyewe aisee.
hili joto linasababisha madhara sana kwa watoto na watu wazima.
jamani tunakabili vipi hili joto la dar???
umepinda wewe.Mnawasha moto, kisha mnaanza kuota, wahenga walisema dawa ya joto ni moto
Umesema wasudani hawajalalama. ila angalia kama wana mtu ambaye ana rangi kama yako. wote wameungua na kubaki masizi. huko india tangu mtoto anazaliwa anazoea joto la kufa mtu. Hii dar ina hali ya hewa kama batiki vile yaani hapa rangi pale patch huku dye na kila uvundombona hali ni shari tu Dar! India wamefikisha 48c Sudani nao wako juu yetu wala sijasikia wanalalamika! embu pita hapo posta ya zamani kuna jamaa anazunguka zunguuka hapo kavaa mjaketi mzito ajabu anasema ati kuna baridi!! Dar kuna vituko jameni
:teeth: Karibu sana Baitul Lahm joto leo liko 16c
kuna watu mnauweza huo mji, mie nikija huko naomba kinachonileta kiende sawa nirudi kwetu njoro. huo mji una wenyewe aisee.