hili joto linasababisha madhara sana kwa watoto na watu wazima.
jamani tunakabili vipi hili joto la dar???
Usimkumbatie mwenza wako! tumia muda mwingi bar LOL just joking hii hali ni soo mazee
...halafu mtu ndo anakushawishi mkadumishe ndoa usawa huu. unaweza ukafa hujafika mbali maana kutweta ni ada hata ukipigwa na feni.Dar mmezidi kutotoa. Hii ndo gavana muache kukumbatiana.
na wewe mpenzi upo Dar....ooh nooooo
hili joto linasababisha madhara sana kwa watoto na watu wazima.
jamani tunakabili vipi hili joto la dar???
hili joto linasababisha madhara sana kwa watoto na watu wazima.
jamani tunakabili vipi hili joto la dar???
Mie mwili-kibanda najua ndo nateseka naweza pia kuvumilia, ila haka katoto ketu kana mwaka na nusu sasa nakaonea huruma kanavyoanza kutoka vipele vya joto.
Preta. kwenu kuna umeme???
Dar mmezidi kutotoa. Hii ndo gavana muache kukumbatiana.