Dar es Salaam yaongoza kwa Matumizi ya Dawa za Kulevya Tanzania

ule mzigo uliokamatwa kilwa sijui umeishia wapi da zilikua tani za kutosha i hope unapita tu manake ukiuzwa hapa nusu ya nchi tutakua mateja

Cha ajabu wakikamata bangi kwa mbwembwe wanaita na makamera huku wakiyachoma

Ila wakikamata UNGA husikii tena habari yake na ushahidi hutauona tena
Ule mzigo ulikuwa mkubwa sana kwanini wasiumwage baharini?
 
umwage hela mkuu

Hapo sasa
Lakini wanaoangamia ni mbaya zaidi kuliko hizo hela
Na bado unga umekamatwa kwa hiyo hata umwage ni bora zaidi kuliko madhara
Kweli ni hela ila wao jukumu lao ni kukamata na sio vingine
 
Stress na illusions
Sitaki kuamini kuwa Mawazo ya Maisha magumu au Taabu uzipatazo duniani ndiyo zikufanye uwe ' Mdau ' wa Kutumia ama Dawa za Kulevya au kuwa ' Mlevi ' sana.

Kuna Watu ( GENTAMYCINE ) nikiwemo tuna Matatizo ya Taabu za Ugumu wa Maisha na tunapitia ' Changamoto ' za Kimaisha kuliko mlizonazo lakini hatubwii Unga, hatuvuti Bangi na wala hatunywi Pombe bali tunaendelea tu Kupambana, Kutafuta na kuwa Wavumilivu tukiamini ya kwamba ipo Siku nasi Mwenyezi Mungu atayabadili haya Maisha yetu ya Dhiki na Kusahau yale yote Madumu tuliyoyapitia kwa miaka kadhaa ( mingi )
 
Back
Top Bottom