Dar Es salaam watu wanalalamika kuugua mafua makali, isije kua ni kirusi kipya cha Omicron?

Basi kishafeli maana mbona Cha kawaida sana, hii ndio Tanzania inayoamini katika Mungu Baba Muumba wa Mbingu na Nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, tunasubiri vijavyo na tutavuka.
 
Wasisahau kula viazi, dagaa na matemble pia - Polepole, Mwalimu wa shule ya uongozi.
Corona ni futa tu - Jiwe 2020
Acheni kujitia presuure, gongeni ma limao,pilipili, tangawizi jichanganyeni juani mpate vitamin D yakutosha baass

Mambo ya kujitia hofu ndio mnajisogeza kwny hatare

Wakati wa JPM watu wakiambiwa hakuna Corona kiivo wakawa wanasema JPM anaficha data…haya hayupo sasa watutajie wao hizo data za kutisha za wagonjwa
 
Back
Top Bottom