Dar Es Salaam Vegetables Market- Huduma hadi mlangoni kwako

Heci

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
3,524
5,927
Dar Es Salaam Vegetables Market Door to Door delivery service.

intro_cream_of_crop.jpg

Tunauza mboga za majani za aina zote. Zucchini, Brocolli, Colie flower, leeks, mint, coriander, Kisamvu kilichotwangwa, matembele, mchicha, mnafu, majani ya maboga, majani ya kunde, nguniani, Chinese spinach, European spinach, cabbage, Chinese cabbage, red cabbages, red pepper, green paper, yellow pepper, hot pepper, beet nuts, beet roots, viazi, na matunda ya aina mbalimbali.
Tutakufikishia hadi mlangoni kwako bila gharama yoyote.

Tupigie simu 0767/0717-45-44-55.
Tunafikisha vikiwa fresh, visafi na kwa wakati.
 
Nahitaji mboga za kiasili kama mswisa, makusu, na kadhalika, Je mnazo?
 
Organic food ni nini?
Je kila kinacholimwa kwenye greenhouse ni organic?
Organic food ni chakula kilicholimwa pasipo kutumia madawa ya viwandani kuulia wadudu, mbolea za kikemikali, mionzi, na hazijabadilishwa kijenetiki (genetically modified).
Sio kila kilimwacho kwenye greenhouse ni organic
 
asante kwa ufafanuzi
 
Organic food ni nini?
Je kila kinacholimwa kwenye greenhouse ni organic?
Organic food ni chakula kilichopandwa kwenye shamba ambalo halitumii mbolea zenye kemikali wala hazijanyinyizwa dawa za kuua wadudu zenye kemikali.
 
Kuna mboga Fulani inaitwa salad inapatikana sana Arusha na inalimwa kwenye maji.
Je unazo?
 
Dar Es Salaam Vegetables Market Door to Door delivery service.

intro_cream_of_crop.jpg

Tunauza mboga za majani za aina zote. Zucchini, Brocolli, Colie flower, leeks, mint, coriander, Kisamvu kilichotwangwa, matembele, mchicha, mnafu, majani ya maboga, majani ya kunde, nguniani, Chinese spinach, European spinach, cabbage, Chinese cabbage, red cabbages, red pepper, green paper, yellow pepper, hot pepper, beet nuts, beet roots, viazi, na matunda ya aina mbalimbali.
Tutakufikishia hadi mlangoni kwako bila gharama yoyote.

Tupigie simu 0767/0717-45-44-55.
Tunafikisha vikiwa fresh, visafi na kwa wakati.
dar mko sehemu gani?vitu vyenu ni organic????
 
Back
Top Bottom