Dar es salaam University College Of Education (DUCE)

Lenin V.I.U

JF-Expert Member
Mar 28, 2014
218
62
Wanajamvi msaada kwa anaejua kuhusu quality of education inayotolewa Dar es salaam University College Of Education (DUCE) vipi kinaweza kua ni miongoni mwa vyuo bora nchini?
 
Exactly,DUCE n chuo bora kbs as u know it's a constituent college of Udsm.Wana maprofx wa kutosha,lecture halls za ksasa kabsa,maadl yanazngatiwa,may be hoctel tu ndo tatzo.
 
Usipime kwa ubora unaotolewa hapo, na kama ni mtu wa good time unaweza usimalize chuo kama utasoma geography, history, mathematics au PS
 
mwalimu ni mwalimu tu hata usome uchochoroni utaenda kufundisha na mtapewa synonymous salary so popote pale kasome tena usihangaike kutafuta chuo kigumu!
 
Exactly,DUCE n chuo bora kbs as u know it's a constituent college of Udsm.Wana maprofx wa kutosha,lecture halls za ksasa kabsa,maadl yanazngatiwa,may be hoctel tu ndo tatzo.

tatzo lao ni kuwachagulia wanafunz masomo ya kufundisha na ukichaguliw hakuna kubadil
 
Inabid na wewe uwe na msimamo, nakumbuka mwaka wetu 2007/2010,waliwakatalia watu kusoma economics na political science lkn watu walisimamia hoja na wakamaliza vizur chuo
 
Exactly,DUCE n chuo bora kbs as u know it's a constituent college of Udsm.Wana maprofx wa kutosha,lecture halls za ksasa kabsa, maadl yanazngatiwa,may be hoctel tu ndo tatzo.


Mkuu lugha unayoiandika hapa ni vyema ukaendelea kuitumia huko kwenye text massages

ila humu sio applicable !
Ukishindwa sana peleka facebook !
 
Mkuu lugha unayoiandika hapa ni vyema ukaendelea kuitumia huko kwenye text massages

ila humu sio applicable !
Ukishindwa sana peleka facebook !

Nahisi umeeleweka mwalimu wa Mwandiko!
 
Jamani me nipo Duce hapa mziki wake ni shidaaa yaani PS,History na Geo watu wanalia. Hichi ndio best college ya education Tanzania
 
Back
Top Bottom