Safi mama piga kazi, huku kwenye siasa bado kidogo turekebishie watu wanateseka magelezani kisa siasa !! ilifikia kiwango ukisema wewe ni mpinzani basi shimo la tewa ni halali yako, unahukumiwa mateso au hata kifo ukiwa unajiona huku ukiacha familia yako ikiteseka - tulifika pahala pabaya mno.