Dar es Salaam: Rais Magufuli aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,811
4,533
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumanne Januari 14, 2020 ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.

1579007011775.png


1579007044428.png
 
Ukiangalia sura zao kila mmoja anabatasamu! Ole wako unune uteuzi wako unatenguliwa mara moja! JPM anatisha!
 
Kwa sababu kwa mujibu wa Sheria nafasi ya Rais wa Znz kama Mjumbe wa Baraza la Mawaziri haikaimiwi, ama aje mwenyewe au kiti kibaki wazi

Naona pia kabrasha lake kwa kikao hicho likiwa mbele la kiti kitupu cha Mh. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi SMZ na mjumbe wa baraza la Mawaziri serikali ya Tanzania JMT .
 
Back
Top Bottom