Kama hivi!?Hakuna Kikao Hapo.
Hapo Wameenda Kukaripiwa, Kutukanwa, Kutishiwa Kufukuzwa, Kuonywa na Kupokea Maagizo.
Well said! Yaani nchi ya makondoo ndugu yangu!Hakuna Kikao Hapo.
Hapo Wameenda Kukaripiwa, Kutukanwa, Kutishiwa Kufukuzwa, Kuonywa na Kupokea Maagizo.
Kiti cha waziri Sheni kutoka serikali ya zanzibar mbona hakikaliwi katika mikutano hii ya baraza la mawaziri.
Kwa sababu kwa mujibu wa Sheria nafasi ya Rais wa Znz kama Mjumbe wa Baraza la Mawaziri haikaimiwi, ama aje mwenyewe au kiti kibaki wazi