Dar Es Salaam, Ni Rahaa kweli kweli

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
ajalisalama%5B1%5D.jpg
 
kitu kimekamata ile mbaya katika barabara ya Bagamoyo Rodi mchana
 
Kijana anayesadikiwa kuwa ni kibaka wa simu, akijaribu kuzuia sikio lake la kushoto ili yasikatwe kwa panga
 
Ng'ombe wakiwa wakibalizi upepo mwanana kabisa katika fukwe ya bichi ya Kawe
 
Hapa ni Kigoma mwisho wa Reli. Shule hiyo,

ya+bwatta.jpg

Duh!! Machozi yananilenga lenga.
Shule!! Halafu gavana wa BoT anajengewa nyumba ya bei gani vile??
Hata wazazi wangu waliosoma shule ya msingi 1930s hawakuwahi soma shule ya aina hii.
SHAME!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom