Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,548
- 6,102
Na kweli ni washamba haswaaaaaaaaaaaaaa
Kariakoo kila ijumaa kuna wabibi wa kizaramo na kikwere huja kukusanya mapato,unasema wale wagogo wale?Kifupi huwajui watu wa Dar na Pwani.
Nitafutie ombaomba mmoja tu wa mikoa ya Pwani au mwenyeji mzawa makabila ya Dar es Salaam.
Ombaomba wote wanatoka bara. Vichaa na mateja wote walioko Dar ni watu wa mikoani.
Acha zako,wazawa wa huko ni wachapakazi kinomaumeshawahi kuishi ikungulyandili,Baryati?,au Sangamwalugesha,Meatu?
kaka tuache hizo ni mila na desturi zetu huku ni pwani na sio bara, tafadhali tuombe radhi!Habari,
Kazi kubwa ya hawa wazaliwa wa dar ni vigodoro, kucheza drafi na bao, na kutembea barabarani na ngoma wakikusanya hela za kigodoro. HAWAPENDI SHULE, WALA KAZI. Wanamiliki maeneo makubwa lakini wanauza na kubaki masikini na kisha kuhamia maporini, sasa wamejazana kibaha na bagamoyo.
HAWAJAWAHI KUPANDA GARI ANGALAU KUTOKA NJE YA DAR, usafiri wao mkuu ni GUTA, na BODABODA.
Utafiti mdogo unaonesha haya makabila ya hawa watu wa dar ni washamba na hawapendi elimu. UNAKUTA MTU KAZALIWA MBAGALA, ANAKUA CHOKORAA PALEPALE MBAGALA, ANACHOMWA MOTO PALEPALE MBAGALA,.... yaani hata Ubungo, Mwenge, Na mjini kule posta na kariakoo huwa wanasikia tu hawajawahi kufika.
WAZARAMO na WANGINDO sijui nani aliwaloga.
Habari,

Hivi kashata yanwewa mkuu?