Dar es Salaam Metropolitan Development Project - angalieni pembezoni mwa jiji

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,076
7,647
DMDP angazieni maeneo ya pembezoni mwa jiji haswa maeneo ya Kiluvya Gogoni katika wilaya ya Ubungo Jimbo la kibamba, Barbara katika maeneo hayo ni mbaya sana!

Tafadhali uongozi wa DMDP boresheni maeneo hayo kwani miundombinu ni mibovu, geukieni maeneo hayo.
 
Ni kweli DMDP mnapaswa kwenda pembezoni mwa mji, mmepasahau. Maeneo hayo tembeleeni muuone.

Wekeni japo lami ktk barabara moja tu, imarisheni miundombinu ya maeneo hayo ili kukuza miji ya pembezoni, sio mnaangalia sinza, magomeni, nyamala, nk tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom