Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

Ninatamani sana. Na ninaomba Mungu anisikie. Atoe fundisho kwako na wenye akili kama zako. Kwamba wwe mwenyewe, au mtu umpendaye kuliko wote duniani augue gonjwa kama kidole tumbo, au gonjwa lolote linahohitaji huduma za haraka. Halafu kwa vyovyote mkose namna ya kufika kwenye hospitali mnazojivunia, mwende kwenye hosptali za sisi wa kawaida.

Mnapofika pale, mkute Dr. Hayupo au yupo lakini hana uwezo wa kuwasaidia. Awaandikie dawa halafu aondoke. Mnabaki na muuguzi anasema hawezi kufanya lolote ila mkatafute dawa mlizoandikiwa na Dr. Mkatafute mahala psipopajua. Halafu ni usiku. Mgonjwa awe anazidiwa. Mnamwit Nurse amelala. Anampigia Simu Dr. Hapokei au anasema atakuja kuwaona asubuhi round.

Hapo hakuna x-ray wala utra-sound machine. Kama zipo, mtaalamu hayupo kaenda kufanya kazi kwingine. Kama yupo umeme umekatika na hawana generator. Kama generator lipo halina mafuta. Mtu wa store kutoa mafuta hauypo na akitafutwa anajibu anavyotaka au hapatiani au anasema atakuja na haji. Unatoa hela za mafuta, genrator limefungiwa mahala hakuna mwenye ufunguo. Ni yul anayesema anakuja.

Kama kila kitu kipo, Hospital haina oxygen au vifaa vya theater hakuna. Unatakiwa kwenda hospital kubwa ambako nako unakuta hali ni ileile. Kwanza usafiri hakuna barabara hazipitiki. Au nauli ya ninyi kwenda hakuna hadi mjikusanyemuuze kuku.

Au kwa kudharauliwa hapo hosptial mnaambiwa nendeneni nyumbani siku mkipata fedha za operation mrudi.

Unaondoka na mgonjwa wako huku unaangalia gate la hospital mara mbilil, Mgonjwa amelala chini mkisubiri usafiri wa kumrudisha nyumbani mkataute fedha. Unajifunika kanga usoni ama shati machozi yanakumwagika. Huna mfariji. Halafu ndipo uje na ushenzi wako huu wa kuwadhihaki wanaodai mabadiliko. Uje uendelee kuimba kwamba wanaodai haki na mabadiliko wanaastahili kufa!.

Pengine kwa hili utajifunza kuwa binadamu.

Maneno mengine hayawezi kukufungua macho utambue mateso Watanznia wanapata chini ya ccm. Ninaomba yakukute wewe mwenyewe halafu uwe msaasa kwa majuha kama wewe!.
Amin amin,MUNGU atajibu maombi haya.
 
Si alisema zito hakumsaidia 2010..!! Haya tuone sasa kama anaweza kusimama na miguu yake..!! Its sad kumpoteza mnyika but he is not honest..!! So aende tu..
 
Tabby naelewa kila kitu. Lowasa ndiye anaweza kuharibu zaidi. Ni bora Dr Magufuli ambaye ameweza kusimamia barabara nchi nzima. Angepewa hata wizara ya afya nadhani haya yote tusingekuwa tunalalamika. Hivyo uelewe siyo kwamba wana CCM tunafurahia hiyo hali, ila hatukuwa na jinsi kwa sababu ya mfumo mbovu. Ila kwa sasa Dr Magufuli ni mtu pekee, kwanza hajawahi kuwa kiongozi hata wa CCM hivyo hana undugu, kujuana ndani ya CCM, maana yake yeye kwake ni kazi tu, ukileta za kuleta yeye anakunanga tu kwani haangalii. Hivyo nakuomba Tabby punguza jazba, huwezi kulinganisha fisadi lowasa na Dr Magufuli ktk utendaji. Lowasa ni mtu wa kujilimbikizia mali, ni mwizi. Ndiyo maana sisi wapenda haki hatumtaki na tumemkata! Ila angekuwa Dr Slaa mimi na wewe tungeweza kuongea lugha moja, kwani hata sisis tulipenda Dr Slaa zaidi, ila baada ya fisadi kuja kununua chama chenu hapo ndiyo mambo yaliharibika maana kwetu tulilifukuza na kulikataa. Ndiyo maana nasema kila anayeleta fujo apigwe sasa tunasubiria Dr Magufuli aapishwe tu tufanye kazi ya kujenga nchi. Pole tena Tabby kwa fisadi lowasa kushindwa
 
Last edited by a moderator:

Hizo ni ngumi za uso sijui kama anaweza kuzijibu.
 
Dhambi ya kulikumbatia Jambazi sugu na kumtosa mpiganaji wa kiukweli na wa wanyonge Dr. Slaa.

Wanakibamba wamenena

Mkangara 54.7%
Mnyika 42.9%

Acheni kujidanganya nyie....

Jimbo la kibamba lina kata 6. Mpk sasa cdm imatangazwa kushinda ktk kata 4 kati ya hizo 6. Bado kata mbili tu hasa kura za stop over zinapigwa leo cdm ipate matokeo yote.

Ukitaka uhakika tembelea account ya John Mnyika ya fb utakuta hizo habari.
 
Pole sana makamanda yote haya kawasababishia Lowassa na Gwajima.

Kama namuona Padre Slaa anakunywa juice ya miwa huku anacheka.

Haya ndiyo mabadiliko mapya ya Lowassa.
 
Ninatamani sana. Na ninaomba Mungu anisikie. Atoe fundisho kwako na wenye akili kama zako. Kwamba wwe mwenyewe, au mtu umpendaye kuliko wote duniani augue gonjwa kama kidole tumbo, au gonjwa lolote linahohitaji huduma za haraka. Halafu kwa vyovyote mkose namna ya kufika kwenye hospitali mnazojivunia, mwende kwenye hosptali za sisi wa kawaida.

Mnapofika pale, mkute Dr. Hayupo au yupo lakini hana uwezo wa kuwasaidia. Awaandikie dawa halafu aondoke. Mnabaki na muuguzi anasema hawezi kufanya lolote ila mkatafute dawa mlizoandikiwa na Dr. Mkatafute mahala psipopajua. Halafu ni usiku. Mgonjwa awe anazidiwa. Mnamwit Nurse amelala. Anampigia Simu Dr. Hapokei au anasema atakuja kuwaona asubuhi round.

Hapo hakuna x-ray wala utra-sound machine. Kama zipo, mtaalamu hayupo kaenda kufanya kazi kwingine. Kama yupo umeme umekatika na hawana generator. Kama generator lipo halina mafuta. Mtu wa store kutoa mafuta hauypo na akitafutwa anajibu anavyotaka au hapatiani au anasema atakuja na haji. Unatoa hela za mafuta, genrator limefungiwa mahala hakuna mwenye ufunguo. Ni yul anayesema anakuja.

Kama kila kitu kipo, Hospital haina oxygen au vifaa vya theater hakuna. Unatakiwa kwenda hospital kubwa ambako nako unakuta hali ni ileile. Kwanza usafiri hakuna barabara hazipitiki. Au nauli ya ninyi kwenda hakuna hadi mjikusanyemuuze kuku.

Au kwa kudharauliwa hapo hosptial mnaambiwa nendeneni nyumbani siku mkipata fedha za operation mrudi.

Unaondoka na mgonjwa wako huku unaangalia gate la hospital mara mbilil, Mgonjwa amelala chini mkisubiri usafiri wa kumrudisha nyumbani mkataute fedha. Unajifunika kanga usoni ama shati machozi yanakumwagika. Huna mfariji. Halafu ndipo uje na ushenzi wako huu wa kuwadhihaki wanaodai mabadiliko. Uje uendelee kuimba kwamba wanaodai haki na mabadiliko wanaastahili kufa!.

Pengine kwa hili utajifunza kuwa binadamu.

Maneno mengine hayawezi kukufungua macho utambue mateso Watanznia wanapata chini ya ccm. Ninaomba yakukute wewe mwenyewe halafu uwe msaasa kwa majuha kama wewe!.
Utamaliza laaana zote mwishowe zirudi kwa kizazi chako.
 
Tabby naelewa kila kitu. Lowasa ndiye anaweza kuharibu zaidi. Ni bora Dr Magufuli ambaye ameweza kusimamia barabara nchi nzima. Angepewa hata wizara ya afya nadhani haya yote tusingekuwa tunalalamika. Hivyo uelewe siyo kwamba wana CCM tunafurahia hiyo hali, ila hatukuwa na jinsi kwa sababu ya mfumo mbovu. Ila kwa sasa Dr Magufuli ni mtu pekee, kwanza hajawahi kuwa kiongozi hata wa CCM hivyo hana undugu, kujuana ndani ya CCM, maana yake yeye kwake ni kazi tu, ukileta za kuleta yeye anakunanga tu kwani haangalii. Hivyo nakuomba Tabby punguza jazba, huwezi kulinganisha fisadi lowasa na Dr Magufuli ktk utendaji. Lowasa ni mtu wa kujilimbikizia mali, ni mwizi. Ndiyo maana sisi wapenda haki hatumtaki na tumemkata! Ila angekuwa Dr Slaa mimi na wewe tungeweza kuongea lugha moja, kwani hata sisis tulipenda Dr Slaa zaidi, ila baada ya fisadi kuja kununua chama chenu hapo ndiyo mambo yaliharibika maana kwetu tulilifukuza na kulikataa. Ndiyo maana nasema kila anayeleta fujo apigwe sasa tunasubiria Dr Magufuli aapishwe tu tufanye kazi ya kujenga nchi. Pole tena Tabby kwa fisadi lowasa kushindwa

Magufuli akiwa Mwanza kwenye mkutano wa adhara amekili wazi kuwa akishinda atamsaidia Dialo kibiashara maana amewasaidia sana kwenye kampen
 
Last edited by a moderator:
Acheni kujidanganya nyie....

Jimbo la kibamba lina kata 6. Mpk sasa cdm imatangazwa kushinda ktk kata 4 kati ya hizo 6. Bado kata mbili tu hasa kura za stop over zinapigwa leo cdm ipate matokeo yote.

Ukitaka uhakika tembelea account ya John Mnyika ya fb utakuta hizo habari.

Kumbe na nyie mnachubiri matokeo yote chi mlikuwa mnachema mna kituo chenu cha tallying .... .... .... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie.
 
Ukiwa pale #JNICC ndipo unaweza kupata kihoro hasa ukiwa mwanaCDM, maana wanatoa kwa jimbo siyo kama humu mnapeana moyo kwa matokeo ya vituo kwa vituo. Majimbo 13 tayari na John anaongoza kwa majimbo saba dhidi ya sita ya Edo.

point of correction..... naomba uwe una hesabu kura na sio majimbo.....

till now magufuli yupo mbali kwa kura dhidi ya lowasa
 
Back
Top Bottom