Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

Signature lako ni self explanatory kwa ujuha wako,unalalamikia mafisadi jinsi wanavyopiga deal na kufisadi nchi lakini kutwa nzima humu kutetea hao mbuzi,hujitambui wewe kaa kimya tuu

Tatizo lako hufahamu kwa nini opposition siwafagilii. EL ni mwizi na tulikuwa tunampinga tangu JF ilipoanzishwa. Mbowe ndio kauza chama ni heri Pombe aje kuyafagia huo ndio mpango mzima. Hujui kitu wewe mfuata upepo unayeponea rehema za pesa za wakimbizi leo ati unataka kuja kutufundisha demokrasi. Grow up.
 
Keep fooling yoself,huyo pombe hakuna kitu atafanya zaidi ya kuendeleza aliyoyakuta,and you don't know me like that hunijui kabisa na huku States hakuna wakimbizi kuna immigrants,wakimbizi mmejazana huko kwenye njaa Europe maharage gani sijui,na huku states tunachukia mafisadi na tunawafunga kweli kweli
 
Hujitambui wewe,endelea kuwashangilia wazee wa 10% na wengi wenu mmezoea shida under CCM mpaka mnaona ni normal tuu,hamsaidiki nyie.
Mpaka mtakapokiri kwamba kuleta lile jizi la majizi was a fatal mistake hamtasaidika. Hangaika na yako ndugu. May be Mbowe amekumegea hayo mabilioni aliyopata kwa kukiuza chama. Huna audacity wala moral authority ya kuongelea 10% wakati kingunge wa 10% ndiyo mgombea wa chama chako. Toa kwanza kibanzi...
 
Je nyie mliowapitisha vinara wa escrow chenge, ngeleja na tibaijuka? Tena wote wamerudi bungeni. Kweli nyani haoni kundule
 
Eti nyie. Unafikiri mi nilikwenda kupiga kura Sengerema, Muleba na Bariadi simultaneously? Kama wapiga kura wao wamewaona wanafaa so be it. Kabla hujaanza kuwalaumu nenda ukaongee nao watakwambia ni kwa nini wamewachagua tena. Na wanaweza wakawa na sababu nzuri sana. Nyie mko mjini mnawatukana mitandaoni eti wajinga. Nendeni mkawasikilize kwanza. I promise you kuna kitu mtajifunza ambacho kitawasaidia katika chaguzi zijazo! Otherwise mtaendelea kuwa walalamikaji mpaka siku ya kiama!
 
Tatizo lako hufahamu kwa nini opposition siwafagilii. EL ni mwizi na tulikuwa tunampinga tangu JF ilipoanzishwa. Mbowe ndio kauza chama ni heri Pombe aje kuyafagia huo ndio mpango mzima. Hujui kitu wewe mfuata upepo unayeponea rehema za pesa za wakimbizi leo ati unataka kuja kutufundisha demokrasi. Grow up.

Pombe hataweza kufanya kitu kama hicho. Na Wala hiyo mahakama yake haitatokea, Kwani zilizopo zimeshindwa kuamua kesi za namna hiyo? Bahati mbaya hajaweka timelines kwenye ahadi zake kwa hiyo mwaka baada ya mwaka Watakuwa kwenye mchakato. Natumaini tutakuwepo kushuhidia as Tanzania ya viwanda na mahakama unfolds.
 
Mkuu usipoteze muda wako khs hao watu waliokabidhi akili zao CCM wafikiri kwa NIABA yao kuamini kwamba MAGUFULI ataweza kuinua Uchumi na ETI....kujenga Viwanda ni UTANI mBAYA... nilimsikia pale Kibaha alikuwa anadanganya waKWERE kuwa atajenga VIWANDA elf 1 nawatu wakamshangilia nilijidharau sana kuwa Mtanzania natamani kuwa Mtanganyika
 
Halafu kuna mapumbavu yanadai CCM huwa inashinda kihalali na kwamna tume ya uchaguzi ni huru.

Ni mapumbavu makubwa

ni kupe mfano mmoja tu
kila mwaka mkoa wa Tabora ccm wanachukua viti vyote
mwaka huu kwa Kapuya wapinzani wameshinda
now kama Kapuya asingekuwa mfuasi wa Lowassa i doubt angeshindwa
naamini CCM wamemtosa..hawakumpa masanduku yake kama wenzie
so usikute Tabora nzima kila mwaka wanaipiga chini CCM
 
Baadhi ya Watanzania ni viumbe vya ajabu sana......

Ukiwaahidi kidogo tu wanaingia mkenge bila kutafakari hizo ahadi zitatimizwajwe????
Viwanda elfu moja?????
Haya........ miaka miwili mitatu mbele watakuja na thread kulalamikia ahadi....

Pombe hataweza kufanya kitu kama hicho. Na Wala hiyo mahakama yake haitatokea, Kwani zilizopo zimeshindwa kuamua kesi za namna hiyo? Bahati mbaya hajaweka timelines kwenye ahadi zake kwa hiyo mwaka baada ya mwaka Watakuwa kwenye mchakato. Natumaini tutakuwepo kushuhidia as Tanzania ya viwanda na mahakama unfolds.

Mkuu usipoteze muda wako khs hao watu waliokabidhi akili zao CCM wafikiri kwa NIABA yao kuamini kwamba MAGUFULI ataweza kuinua Uchumi na ETI....kujenga Viwanda ni UTANI mBAYA... nilimsikia pale Kibaha alikuwa anadanganya waKWERE kuwa atajenga VIWANDA elf 1 nawatu wakamshangilia nilijidharau sana kuwa Mtanzania natamani kuwa Mtanganyika
 
Mkuu usipoteze muda wako khs hao watu waliokabidhi akili zao CCM wafikiri kwa NIABA yao kuamini kwamba MAGUFULI ataweza kuinua Uchumi na ETI....kujenga Viwanda ni UTANI mBAYA... nilimsikia pale Kibaha alikuwa anadanganya waKWERE kuwa atajenga VIWANDA elf 1 nawatu wakamshangilia nilijidharau sana kuwa Mtanzania natamani kuwa Mtanganyika

Ndgu uwe mtanganyika mara ngap wakat wenyewe washavunja muungano hivi sasa sisi ni watanganyika tayali lubuva na jecha waneshavunja muungano rasm
 
Baadhi ya Watanzania ni viumbe vya ajabu sana......

Ukiwaahidi kidogo tu wanaingia mkenge bila kutafakari hizo ahadi zitatimizwajwe????
Viwanda elfu moja?????
Haya........ miaka miwili mitatu mbele watakuja na thread kulalamikia ahadi....

Kama hawakuuliza maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi unafikiri watauliza viwanda?
atakuja na slogan..'kazi iendelee'...itatosha tu...

Kama watu wanaua albino wawe matajiri unafikiri wanaelewa kupiga kura ina maana gani?
 
Eti viwanda 100p...😂😂😂. Havitakuja..na 2020 ccm itarudishwa kwa kishindo.
 
Pumbavu lini UKAWA walikuwa madarakani wakakataa kuachia madaraka hadi wawe waroho?
Lowasa ndie mwenye uchu wa madaraka, kadunda CCM kakimbilia fasta UKAWA kwenda kuwanunua.

Hiki ndicho nlichomaanisha.

Upo?
 
hivi jimbo la mbagala sindio limefutiwa uchaguzi, mbona sisiem wamechukua tena???kulikoni
 
Wewe mpuuzi wacha kutapika humu Fikiria Bei za bidhaa kwanza
Mmeshachuchumaa nyie UKAWA.

Tulieni, ila sikulaumu sio kosa lako.

Mmelewa vidonge vya Magufuli. Jitahidi umalizie dozi yako, vinginevyo hautopona.

Chezea Magufuli weye
 
Pamoja na sarakasi zote kwenye uchaguzi huu (kama ajuavyo kila mtanzania) lakini kuna baadhi ya mambo yanasisimua sana!

Jimbo la Ukonga limetia fora maana m/kiti wa kijiji amemng'oa Meya, tena Meya wa Manispaa ya Ilala ambayo iko katikati ya jiji la DSM!

Jambo hili kwangu ni fundisho..
 
Back
Top Bottom