Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 11,641
- 8,576
Mkuu hata huku mtaani tunawaambia kila siku hawataki kuelewa. Lissu ni mwanasheria wa mihemiko tu ndio maana ni Mwanasheria Maarufu sio Mwanasheria mashuhuri! Poleni sana Ufipa na wapiga filimbi wenu JF!Watu wamesha sema sana kuwa Lissu sio mwanasheria mbobeaji. Hajui sheria na ndiyo maana kwa mara nyingine anaanguka.
Mara ya kwanza alianguka wakati alipojitahidi kumwoondoa Magufuli kwenye Urais. Mara ya pili ni baada ya kuto zingatia sheria na kanuni za bunge na mara ya tatu leo katika maombi yake ya kesi dhidi ya Spicker wa bunge letu tukufu.
Lissu na genge lake ni wababaishaji tu. Sheria hawazijui, kelele zu za mitandaoni na soko kubwa.
Watu wana Ma PHD ya Sheria yeye anakuja na kiji Masters chake akitegemea kushindana na wasomi walio bobea. Ridiculous!