Dar es salaam kuna haja ya kuanza kubadili muundo wa Majengo, Wahandisi karibuni tushirikishane!

Mkuu..
Kitaaluma ujenzi wa vertical settlements ni mzuri sababu unauwezo waku accomodate watu wengi eneo moja

Kibaya ni haya makazi ya aina hii siku zote hua termed as Slams..zero privacy
 
Kweli Mkuu hayo ni mapungufu ambayo yanatokea!
 
waafrika tuache kuiga bila kutumia akili, kati ya vitu vinavyoathili hali ya JOTO dar ni majengo marefu yasiyojali mpangilio.
jambo la kufanya ni kununua maeneo na kuyapima na ''kuyadizain''i kwa kujali kwamba HEWA na UPEPO vinapita
JAMBO HILI LIZINGATIWE DODOMA pia. kwetu ni JOTO ULAYA NI BARIDI.
 
Mkuu Kazi ya Engineer na Architect Hii wala haina Shida!
 
Back
Top Bottom