mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Wana Jf,
Baada ya pigo la covid 19 kila MTU aligeukia mizimu ya mababu kutukumbusha dawa zetu za asili zilizobezwa na wenyeji kwa mapokeo ya dawa za kizungu.
Kutokana na pigo hili watu wakawakumbuka wazee wetu dawa walizotumia kukabiliana magonjwa mbali mbali yenye tabia kama za corona.
Hapa kila kabila lipewe kipande cha kupanda miti hii, kabila ambalo miti inafanana tunaachana nayo, kama haifanani inapandwa alafu mtunzaji apewe kitabu cha matuzi ya izi dawa za asili. Msisahau dawa kutoka Bukoba zimewavusha sana wana wa Dar es Salaam