DAR ES SALAAM: Kaka yangu na Mpenzi wangu wamekua wasimamizi wa Uchaguzi

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Napiga nao stori tuu sasa hii sehemu ambayo watalala pamoja katika shule ya Msingi maarufu hapa Dar es Salaam.

Hakuna siri wala kitu chochote wameambiwa na wametahadharishwa kuwa makini na wizi wa kura pia nimekutana na rafiki yangu tuliyesomaga naye yeye ni Police napiga naye stori hawana silaha wala nini zaidi ya Kirungu na shuka na mswaki wengi wana mabegi madogo ya mgongoni kwa kweli morali iko juu hata huyu askari yeye ni mwanamabadiliko.
 
Napiga nao stori tuu sasa hii sehemu ambayo watalala pamoja katika shule ya Msingi maarufu hapa Dar es Salaam
hakuna siri wala kitu chochote wameambiwa na wametahadharishwa kuwa makini na Wizi wa Kura pia nimekutana na Rafiki yangu tuliyesomaga naye yeye ni Police napiga naye stori hawana silaha wala nini zaidi ya Kirungu na shuka na mswaki wengi wana mabegi madogo ya mgongoni kwa kweli morali iko juu hata huyu askari yeye ni mwanamabadiliko.

Mkuu hakuna mtu yeyote mwenye akiri timamu asiyetaka mabadiliko. Tena hao maaskari ndo wanatia huruma sana chini yahuu utawala wa maccm.
 
Hapa tupo na uangalizi flani ,tupo wanaoangalia nyumba za madiwani wa ccm na tupo tunaoangalia nyumba za wabunge na ofisi za wilaya wapo ,yaani ulinzi wa watu wawili wawili kila panapohusika na liccm maarufu na ofisi zao zilizo karibu na vituo ,hapwesi wa la kusinzia mtu ,kinachoingia na kutoka tunarecord kwa picha night vision camera ,yaani ulinzi kuliko unavyodhania .
 
Hahahaha mkuu umenifurahishaa aisee full a man I, VP kichinjio umeshaking'oa mkuu??
 
Back
Top Bottom