Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

Zero One Two

JF-Expert Member
Sep 16, 2007
9,347
3,021
1650630292561.png

The Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) is the government Institution established in 1997 by Act of parliament."the DIT Act No 6 of 1997" to replace the Dar es Salaam Technical College which had a long history of technical training in Tanzania from 1957.

The Dar es Salaam Technical Institute was established aiming at providing vocational training in the country. The Institute later expanded its scope to offer technical secondary school courses and training for Technical Assistants before it was upgraded in 1962 to become the Dar es Salaam Technical College (DTC), the first formal technical training institution in the country.DTC was aimed to train technicians under the London City and Guilds Training Program.In order to enhance its contribution to the national capacity building in technical manpower, the College in 1964 introduced two-and-a-half-year Ordinary Technician Diploma (OTD).

Currently the institution has three (3) campuses which are; Main Campus in Dar es Salaam,Mwanza Campus in Mwanza Region and Myunga Campus in Songwe Region. The institute offers over twenty nine (29) applied science, engineering and professional training programmes leading to the awards of Basic Technical Certificate,Ordinary Diploma,Bachelor of Engineering,Bachelor of Technology and Master Degree programme.

1650630243640.png

PROGRAMMES OFFERED UNDER DIFFERENT DEPARTMENTS

DEPARTMENT OF COMPUTER STUDIES

This department offers Computer Engineering, Information Technology and Multimedia & Film Technology at Ordinary Diploma (NTA Level 4 – 6), Bachelor of Engineering (NTA Level 7 - 8) and Master of Technology in Computing and Communications (NTA Level 9) programme.
  1. Ordinary Diploma Programmes
    • Ordinary Diploma in Computer Engineering
    • Ordinary Diploma in Information Technology
    • Ordinary Diploma Multimedia and Film Technology
  2. Undergraduate Programmes
    • Bachelor of Engineering (B. Eng) in Computer Engineering
  3. Postgraduate Programmes
    • Master of Technology in Computing and Communications. (18 months)
    • Master In Computational Science and Engineering (18 months)

DEPARTMENT OF CIVIL ENGINEERING
The department offers Ordinary Diploma (OD) at NTA level 6 and Bachelor of Engineering Degree (B. Eng) at NTA Level 8. The department also offers Master degree programme of Engineering in Maintenance Management (NTA 9) by coursework and dissertation.
  1. Ordinary Diploma Programmes
    • Ordinary Diploma in Civil Engineering
    • Ordinary Diploma in Mining Engineering
  2. Undergraduate Programmes
    • Bachelor of Engineering (B. Eng) in Civil Engineering
    • Bachelor of Engineering in Oil and Gas Engineering
    • Bachelor of Engineering (B. Eng) in Mining Engineering
  3. Postgraduate Programmes
    • Master of Engineering in Maintenance Management (18 months)
    • Master of Engineering in Sustainable Energy Engineering

DEPARTMENT OF ELECTRICAL ENGINEERING
The department offers NTA Ordinary Diploma (level 4-6) in Electrical Engineering, Biomedical Equipment Engineering, and Renewable Energy Technology. It also offers (NTA level 7-8) Bachelor of Engineering program.
  1. Ordinary Diploma Programmes
    • Ordinary Diploma in Electrical Engineering
    • Ordinary Diploma Renewable Energy Technology
    • Ordinary diploma in Biomedical Equipment Engineering
  2. Undergraduate Programmes
    • Bachelor of Engineering (B. Eng) in Electrical Engineering

DEPARTMENT OF ELECTRONICS AND TELECOMMUNICATION ENGINEERING
The department offers Ordinary Diploma and Bachelor of Engineering (NTA level 4-8) programmes in Electronics and Telecommunication Engineering and Ordinary Diploma in Communication System Technology (NTA level 4-6).
  1. Ordinary Diploma Programmes
    • Ordinary Diploma in Electronics and Telecommunications Engineering
    • Ordinary Diploma Communication System Technology
  2. Undergraduate Programmes
    • Bachelor of Engineering (B.Eng) in Electronics and Telecommunications Engineering

DEPARTMENT OF MECHANICAL ENGINEERING
The department offers Ordinary Diploma and Bachelor of Engineering (NTA level 4-8) in mechanical engineering.
  1. Ordinary Diploma Programmes
    • Ordinary Diploma in Mechanical Engineering
  2. Undergraduate Programmes
    • Bachelor of Engineering (B. Eng) in Mechanical Engineering

DEPARTMENT OF SCIENCE AND LABORATORY TECHNOLOGY
Department provides services to all academic departments in teaching physical science modules.
  1. Ordinary Diploma Programmes
    • Ordinary Diploma in Science and Laboratory Technology
    • Ordinary Diploma in Food Science and Technology
    • Ordinary Diploma in Biotechnology
    • Ordinary Diploma in Leather Products Technologies
  2. Undergraduate Programmes
    • Bachelor of Technology (B. Tech) in Laboratory Sciences
 
Hongereni kwa mfumo uliopo pale kwamba hakuna kum award mtu diploma au degree kama hatafanya project mwaka wa mwisho na kuvumbua ama kutengeneza kitu ambacho kitaisaidia jamii kulingana na kozi unayosoma na ukae mbele ya lecturers na kuitetea project yako na kama umecopy na kupesti lazima wakurudishe ukajipange upya la sivyo habari ya kuwa awarded degree ama diploma unaisahau!

Pia kumbe wanafunzi wa dit ndo wameprogam taa za barabarani za hapa dsm!

Hongereni vijana.
 
hii ni habari mpya kwangu kwa mwaka huu!!!aisee kama ni kweli hawa ndo taifa tunalolitegemea kuleta mabadiliko wenyewe,safi sana vijana kazeni buti mbadilishe si dar tu adi vijijini mvumbue kitu maginiaz wetu
na lecturers msilegeze kamba no degree za kudesa/copy na paste...nililiona gari lililovumbuliwa na undergraduate engineers hawazidi 10 wa chuo uganda linatumia umeme
na lecturers wa vyuo vingine waige mfano watu tutie akili...
 
haaa! Mkuu ndo unajua leo???? Kama umeenda hapo ukawa unapiga blah! blah! Mwisho wa siku ukaja na kiproject chako cha kizushi lazima utaumbuka tu kwenye kukitetea mbele ya jopo la malecturers na lazima utarudi kujipanga upya la sivyo habari ya degree ama diploma utaisikiaga tu!
 
ukisema DIT wameprogram ta za barabarani ,UDSM surveyors wanasema wamechora ramani ya jengo la BWM TOWERS haya ndio mambo makubwa ya wanafunzi wetu miaka 50 ya uhuru.naiheshimu sana DIT maana kam sio wao kutoa vijana makini kama Maxence Melo leo hakungekuwepo forum nzuri na yathamani na maana kam hii.i salute DIT kinabaki kuwa chuo kizuri na bora sana.hawana mbwembwe kabisa wale.
 
Last edited by a moderator:
basi hakuna haja ya kubishana tena...ubora wa chuo ni products zake na sio jina kama chuo flani kinachosifiwa kwa kuwa na elimu bora tz kumbe ni hewa tu....katika maswala ya uhandisi wa ujenzi na technolojia DIT wanastahili sana pongezi....
 
1. Directly entry kwa Diploma in engineering, unatakiwa uwe na cretid tatu yani C na kuendelea.
2. Indirectly entry kama una D tano, utafanya pre-entry course kwa mda wa wiki 12 then mtafanya mtihani.
3. Indirectly entry for B'eng unatakiwa kufanya pre-entry course kwa mda wa mwaka moja na mitihani juu yenye ku include CA na FE
4. Directly entry for B'eng apply TCU
 
Long live DIT!

From Mtafya, Mwansele to Msumba, Mama Nzowa, Ngomuo, Mtangoo to Mburuma, Malongo, Msigala to Tesha. Mambo ya Mzee wa "Conjugate", Kibani Mzee wa Kazi.... Daah! Long live "Mawasiliano Angani" na Mama Kabadi.

Missing you mtaalam wa TDTS na TV and Video Technology marehemu Ngole.... How is Korea mzee Paeng Kim? Nijiandae niende DH lakini dada Vicky atanipa msosi wa kutosha kweli? Au acha niende tu Canteen....lakini ni CBE au DIT? Nikasomee C2 au B14? Au niende A-Block? Library iko wazi leo?

Nitapita nimsalimie Pascal Chisongela na Alex Bunzu halafu nitapita block V nimcheck Booz mzee wa Arsenal anipe matokeo ya EPL. Kabla ya hapo nitapitia kwa Buchwechwe Muchunguzi kisha nitamtext mwalimu Omary nione kama Basic Telecommunication nina supp au nimepita. Wapi Justice Lubuwah, John Bomba? Kesho test ya Hesabu za mzee wa white suit dah!...

Nitapita block II ili niwasalimie Upendo wa Kenneth, Happy, Ikunda na Vale: halafu nitapitia block III nicheck watu wa Mecha kama hawajagombana leo ili niende zangu A block nimplekee madaftari mzee wa kutoboa ........

Salute to all Departments: Mecha, Tele, LabTech, Electrical, Civil......!!
DIT!.... Long live DIT!
Rest In Peace Dave Luhala!

BH, DIT Alumni.
 

Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom