Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

Habar:Naomba kusaidiwa Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha nne2016 na kupata division four point 30 ambayo ni English D,biology C,Civics D,kiswahili D,physics F,MathematicsF geography F,HistoryF,Chemistry F,baada ya hapo mwaka 2017 nkaenda VETA nakuchukua cozi ya umeme ambayo nimehitimu mwaka huu2019 katika ngazi ya LEVEL3 naomba kuuliza kwa wanaojua nahitaji kuendelea na LEVEL 4 je ninaweza kwendelea kwa hivyo vigezo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je kwa yule aliyetoka VETA na akawa na level 3 anataka kuingia LEVEL4 hapo wanaangalia pia cheti cha form four
1. Directly entry kwa Diploma in engineering, unatakiwa uwe na cretid tatu yani C na kuendelea.
2. Indirectly entry kama una D tano, utafanya pre-entry course kwa mda wa wiki 12 then mtafanya mtihani.
3. Indirectly entry for B'eng unatakiwa kufanya pre-entry course kwa mda wa mwaka moja na mitihani juu yenye ku include CA na FE
4. Directly entry for B'eng apply TCU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar:Naomba kusaidiwa Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha nne2016 na kupata division four point 30 ambayo ni English D,biology C,Civics D,kiswahili D,physics F,MathematicsF geography F,HistoryF,Chemistry F,baada ya hapo mwaka 2017 nkaenda VETA nakuchukua cozi ya umeme ambayo nimehitimu mwaka huu2019 katika ngazi ya LEVEL3 naomba kuuliza kwa wanaojua nahitaji kuendelea na LEVEL 4 je ninaweza kwendelea kwa hivyo vigezo?

Sent using Jamii Forums mobile app
fika tu DIT reception utapewa mahitaji yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkilamwene alikuja kupoa alipotufundisha intake yetu maana mabalaa yake tulikua tunayasikia,nilishangaa sana mbona kapoa hivi.
Alikua na kawaida kwenye kipindi chake anatoa quiz maswali 10+ yenye vipengele kibao muda ni dakika 10 tu. Ajabu hakuna swali lolote la kwenye quiz litakalojirudia test 1,2 au final exam kila mtihani kwake ni maswali mapya. Mitihani yake ilikua mirefu mno maswali kibao yenye vipengele lukuki.
Siku moja kipindi nipo OD tulikua tunafanya test DH tukachanganyika na OD wengine waliokua wanafanya test yake (Mkilamwene) nikamsikia anawafanyia masahihisho (correction) swali la 6f daah aliniacha na mshangao yani swali moja lina kipengele hadi f na yote ni maelezo hakuna kuchagua hiyo siku ndio nikamfahamu Mkilamwene ni nani.
yule mzee hatar ... afu huchoki kuandika notsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar:Naomba kusaidiwa Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha nne2016 na kupata division four point 30 ambayo ni English D,biology C,Civics D,kiswahili D,physics F,MathematicsF geography F,HistoryF,Chemistry F,baada ya hapo mwaka 2017 nkaenda VETA nakuchukua cozi ya umeme ambayo nimehitimu mwaka huu2019 katika ngazi ya LEVEL3 naomba kuuliza kwa wanaojua nahitaji kuendelea na LEVEL 4 je ninaweza kwendelea kwa hivyo vigezo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Arusha Technical College wana course moja wiki kumi inaitwa Pre Technology programme. Hii wanachukua wanafunzi waliofaulu vizuri VETA level III wanafanya hiyo course kwa wiki kumi, wanafanya mitihani wakifaulu wanajiunga Diploma
 
Habari Ndugu wana JF, Naombeni msaada kidogo, kwa anayefahamu au anayesoma katika chuo cha dar es salaam Instute Technology (D. I. T) naomba anifahamishe utaratibu wa kujiunga na kozi ya Information Technology (I. T) kwa ngazi ya Certificate na Diploma, kwa mawaka huu 2020
Nahitaji kujua mwongozo na Yanayohitajika mana nimemaliza shule mwaka 2019, ikiwezekana na Ada nijulishwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ingia website ya chuo
Habari Ndugu wana JF, Naombeni msaada kidogo, kwa anayefahamu au anayesoma katika chuo cha dar es salaam Instute Technology (D. I. T) naomba anifahamishe utaratibu wa kujiunga na kozi ya Information Technology (I. T) kwa ngazi ya Certificate na Diploma, kwa mawaka huu 2020
Nahitaji kujua mwongozo na Yanayohitajika mana nimemaliza shule mwaka 2019, ikiwezekana na Ada nijulishwe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkilamwene alikuja kupoa alipotufundisha intake yetu maana mabalaa yake tulikua tunayasikia,nilishangaa sana mbona kapoa hivi.
Alikua na kawaida kwenye kipindi chake anatoa quiz maswali 10+ yenye vipengele kibao muda ni dakika 10 tu. Ajabu hakuna swali lolote la kwenye quiz litakalojirudia test 1,2 au final exam kila mtihani kwake ni maswali mapya. Mitihani yake ilikua mirefu mno maswali kibao yenye vipengele lukuki.
Siku moja kipindi nipo OD tulikua tunafanya test DH tukachanganyika na OD wengine waliokua wanafanya test yake (Mkilamwene) nikamsikia anawafanyia masahihisho (correction) swali la 6f daah aliniacha na mshangao yani swali moja lina kipengele hadi f na yote ni maelezo hakuna kuchagua hiyo siku ndio nikamfahamu Mkilamwene ni nani.

mkilamweni wa electrical ama
 
Hi Wadau, Samahani, Naomba Mnieleze Kuhusu Hii Kozi BACHELOR OF LABORATORY SCIENCE AND TECHNOLOGY ya hapo DIT inahusu nini hasa, maana nimechaguliwa kusoma hiyo lakini sijaijua vizuri.

nadhami sasahivi umeshaijua.....humo ndani unasoma prigramming na analogy electronics
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom